Wazungu bwana

Wazungu bwana

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.

Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.

Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
 
Interesting
 
Bila shaka story hii Haina credibility
 
Kiinglish shida Jamani!!!!!
 
Very nice...
I like you...
 
Kufuta namba ya mtu ni utumwa wa kifikra na ugonjwa wa kiakili wanaougua wastaarabu wa ki bongo!!

Kupiga sim ni kuchangia mzunguko wa fedha kitaa !acha negative mind mkuu!!

Yaani umenikumbusha utoto wangu nikijifunza tycondo yaani unajiandaa na vita ambayo haipoi kabisa full imagination!!
 
Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.

Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.

Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Ni wa kike au wa kiume?
Chai bado ya moto hii
 
Back
Top Bottom