mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Safi sana,watu wa aina hiyo wenye roho ya korosho hiyo ndio dawa yaoMkuu uko sahihi. Kuna ofisi ukienda watz wenzio wanakubania tena ukipeleka Bidhaa na gari binafsi wanaona wewe unawapita utajiri. Kuna sehemu tulikua tunapeleka boss mswahili akaaacha kununua akaenda kwa supplier mwingine kule akakuta bidhaa haina ubora na bei ni kubwa akaamua kuturudia na sisi tukampotezea.
Wachaga hawahawa??Asili ya kanuni hii ya kufanikiwa kama chain imeasisiwa na wayahudi ndio wazungu, waarabu, wachina, wakinga,wachaga, uitumia hata mchaga alewi kwa bar isiyo ya jamaa yake.
Hizi ndio visingizio vyetu,poorHayo mahoteli ya katavi yanayoimport mboga toka Arusha mmiliki ni nani. Kumbuka, mkitaka kufanikiwa kama kikundi, ukoo, kabila. Ukitaka kununua hakikisha unanunua kwa ndugu yako, ila ukitaka kuuza muuzie yeyote
Ndio fitna za kukuza uchumi wa kikundi.
SahihiMada nzuri sana, vijana wa Tz tuamke sio Kila fursa kushikwa na foreigners zingine tuzimiliki wenyewe,tutakuwa wanyonge Kwa wageni mpaka lini? Tusipo miliki fursa hizi watoto wetu watakuja kuona Kila mahali anamiliki mgeni,watakosa pakuanzia na kuwa watumwa wa foreigners.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona hapo ndio uelewa wako unapoishia, endelea kuandika hivyo utafika mbali, ninarudia utabaki kulalamika na kuandika upuuzi huu wakati wenzio wanatengeneza fedha na wanapaa!,Wewe mjinga hizo kazi za kutembeza masufuria kuuza karanga ni kazi za vijakazi na watumwa .wananchi wa Tanzania hawakutakiwa kuishi maisha ya kiseng€ hivyo ,acha kuandika ufala hapa .
Tunaongelea real opportunities ambazo zitaleta impacts za kubadilisha maisha ya mwananchi na jamii nzima kwa ujumla ,
We unaongelea kuendesha boda boda na kuuza karanga ,una akili wewe au usaha kwenye hicho kichwa chako mpuuzi wewe ?
Ni nani ametoa maisha au kuwa tajiri kwa kufanya huo upuuzi ulioandika hapo ?
Tumia akili kufikiria usutumie matako kufikiri
Katombwege huko ,sijibizani na mataahira mimi wasio na ubongo wala exposure kama wewe ,peleka huo undezi wako kwa vilaza wenzako .naona hapo ndio uelewa wako unapoishia, endelea kuandika hivyo utafika mbali, ninarudia utabaki kulalamika na kuandika upuuzi huu wakati wenzio wanatengeneza fedha na wanapaa!,
JF Expert? or non sense, "matako kufikiri, " akili ina usaha" "wewe mpuuzi" ongeze mengine ndio uwezo wako huu
Mifumo yetu ni mibovu sana na sio rafiki kwa kukuza nguvu ya kiuchumi kwa mwananchi .Kuna jinga hapo lina argue kuhusu hili ,Ishu pia is hii serikali ina bureaucracy za ajabu na makodi ya ajabu tu na ndo umeanza biashara; madude ya kijinga kibao that's why most people give up au prefer to do things bila kuhusisha serikali na hao wageni wana hela za rushwa pia wana connections na izo international hotels among other places. Inauma but tunakuwa fucked kw kila kitobo; iwe nchini mwao hadi wakija uku. Bomu la nuclear tu na kuteketeza nusu ya watu ndo itaamsha watu.