mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Safi sana,watu wa aina hiyo wenye roho ya korosho hiyo ndio dawa yaoMkuu uko sahihi. Kuna ofisi ukienda watz wenzio wanakubania tena ukipeleka Bidhaa na gari binafsi wanaona wewe unawapita utajiri. Kuna sehemu tulikua tunapeleka boss mswahili akaaacha kununua akaenda kwa supplier mwingine kule akakuta bidhaa haina ubora na bei ni kubwa akaamua kuturudia na sisi tukampotezea.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app