Wazungu hawajali kuhusu Demokrasia bali maslahi yao

Wazungu hawajali kuhusu Demokrasia bali maslahi yao

Ukweli ni huo, hawana adui wa kudumu, maslahi kuongoza dunia mpaka mwisho wa dunia, ndio kipaumbele chao.

Kuna vitu wanaruhusu kwa malengo maalum kama Isis,, Al Qaida, Al nustra Front, now HTS, yanayeendelea DRC, kabla ya hapo Mali , Burkina Faso, Niger, Nigeria, Sudan, Libya, Iraq, Syria, Yemen nk.
 
Kwanza sio sahihi sana kutumia neno wazungu wakati nchi nyingi za Magharibi kama Marekani kuna Blacks, Wahindi, Wachina n.k

Pili lazima ufahamu hao West hawawajibiki kupigania demokrasia katika mataifa ya nje, wanafanya hivyo kama hisani tu au pale ambapo wataona demokrasia ina maslahi kwao. Kama mkiamua katika demokrasia yenu kuchagua viongozi wanaotaifisha mali za raia wao pamoja na kutaka mataifa yao yaangamizwe hawawezi kuwa support hata kama ni demokrasia.
 
Kwanza sio sahihi sana kutumia neno wazungu wakati nchi nyingi za Magharibi kama Marekani kuna Blacks, Wahindi, Wachina n.k
Nchi ya magharibi kama marekani imeanzishwa na wazungu wa kifaransa,kiingereza sawa tu na jirani yake Canada
 
Kama walivyoleta ujinga wa kuwasapoti Tigirinya forces wa Ethiopian, wakala kichapo mpaka kuoba msamaha ....
 
Kama walivyoleta ujinga wa kuwasapoti Tigirinya forces wa Ethiopian, wakala kichapo mpaka kuoba msamaha ....
Pale Ethiopia kuna kiongozi anayejitambua. USA, Egypt, EU, walimpiga mkwara akaituliza nchi haiwezekani watu wachache watawala nchi siku zote. Demokrasia ni nini?

Pia bwala la umeme walimpiga mkwara mkubwa Ethiopia Sudan Egypt, USA, mzalendo hakuyumba.
 
Back
Top Bottom