Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu?

Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu?

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu?
Maaaana sisitunavoteseka kuomba hizo viza ni aibu kila mwez ubalozin
 
Hata kama wanaomba sidhani kama wanateseka kama sisi huku kwetu
 
Kuna baadhi ya balozi,
Mpaka kuipata Visa yao,Utadhalilika sana
 
Wao pia huwa wanaomba Visa lakini wao inakuwa ni rahisi kupata hawawekewi masharti mengi sisi.
 
Waswahili walisema....

Mwenye shida amfate mganga...

Mtaka cha uvunguni, sharti ainame...

Atafutaye hachoki, akichoka keshapata...

Penye nia, pana njia...

Mvumilivu hula mbivu....

Subira yavuta kheri...

Mgaagaa na upwa, hali wali mkavu...

Mwenye nacho, huongezewa, na asiye nacho, hata kile/kidogo alichonacho hupokonywa.

The world is not fair, who create the unfairness.... and who should be fair and whom unfair should be done to him/her....🤷‍♀️.

Aluta Kontinua.
 
Hata kama wanaomba sidhani kama wanateseka kama sisi huku kwetu
Hayo matatizo yenu si yao. Kama. mna watu kama anayejiita shehe ponda anayetaka eti dini zipewe ruzuku ukiachia mbali kubaguana kati ya magaidi na wagalatia, untegemeani mwanangu?
 
Zamani mababu zetu walipelekwa utumwani kwa lazima Leo vijana wanatamani kwenda nje, wakisema wafungue milango hakuna kijana atabakia
 
Fanya utafiti tu, kuna waTanzania wangapi wangependa kuishi Ulaya au USA, halafu fanya utafiti kuna wazungu wangapi wangependelea maisha yao waishi Tanzania..
Ukipata jibu utatambua kwanini balozi zao wanasumbua kiasi hiko..

Hadi wanafanya green card lottery, ujue kila mmoja kutoka huku nchi masikini anataka kwenda huko..
 
Back
Top Bottom