Regime = a government, especially an authoritarian one.
Hii ya Magufuli ni “regime” bila hata kupepesa jicho.
Sasa mtu kama hajui hata tafsiri ya neno "REGIME", atajua kweli jinsi katiba inavyo lawitiwa.Regime = a government, especially an authoritarian one.
Hii ya Magufuli ni “regime” bila hata kupepesa jicho.
Regime: Kikundi cha utawala kinachopendelea au kinacholazimisha kuabudiwa na kuogopwa zaidi huku kikiminya uhuru wa raia wakeUmemvuruga zaidi....badala ya kumsaidia.
Mh, kweli tumefika huko? duRegime definition:
1. a government, especially an authoritarian one.
Authoritarian definition:
1. favouring or enforcing strict obedience to authority at the expense of personal freedom.
... kama kweli hilo lilifanyika; namaanisha kama kwenli Serikali ilipokea fedha za msaada za COVID-19 huku ikijua nchini hakukua na COVID huo ni utapeli wa hali ya juu kabisa wa kimfumo! Najiuliza hizo fedha Serikali ilizipokea za nini? Inaakisi jinsi tulivyo na tunavyofanya mambo yetu "kipuuzi"....
Niliwasikia wajumbe wa kamati mojawapo ya European Union wakisema Tanzania kuna regime ambao alipewa hela za covid-19 wakati wenyewe wanasema hakuna covid.
...
... sina hakika; nimesaidia tu ku-Google hizo definition kumsaidia muuliza swali.Mh, kweli tumefika huko? du
... na wameshasema. Mamlaka zetu zijipange kujibu tuhuma.Mmmm aa mi sisemi acha waseme wao!
Sasa kwa taarifa yako , jiandae kukisindikiza icho chuma chako icc siku si nyingiMa Beberu wote wanajua JPM ni chuma, chuma Cha pua na wanajua hajaribiwi. Kama boss wa migodi ya Barick duniani aliukubali mziki wa JPM akiwa na wataalamu wake Bora kabisa wa madini zaidi ya ishirini walitepeta utakuja kua ao watu wa ulaya ambao nao wanaitegemea US katika ulinzi wa nchi zao.
Regime: Kikundi cha utawala kinachopendelea au kinacholazimisha kuabudiwa na kuogopwa zaidi huku kikiminya uhuru wa raia wake
Sasa aseme hii yetu ni Regime au sio?
Ma Beberu wote wanajua JPM ni chuma, chuma Cha pua na wanajua hajaribiwi. Kama boss wa migodi ya Barick duniani aliukubali mziki wa JPM akiwa na wataalamu wake Bora kabisa wa madini zaidi ya ishirini walitepeta utakuja kua ao watu wa ulaya ambao nao wanaitegemea US katika ulinzi wa nchi zao.
Mkuu Regime ni Utawala dhalimuRegime = a government, especially an authoritarian one.
Hii ya Magufuli ni “regime” bila hata kupepesa jicho.