MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Twime tubite 'Hakuna mfano nyuma mfano ,nyuma ya mfano Kuna Imani.
--------
Historia inaenda kujirudia Tena, wachache watakaosalia ni wale ambao hawajali sana watu wanawaonaje au wanawachukuliaje, wanaoishi maisha Yao kwa kufuata sheria za Asili.
Wazungu kwa mataifa Yao yote,hawana UPENDO na MTU mweusi, huo siyo mjadala hata tujipendekeze vipi Bado wanatuona sisi kama manyani tu flani wasiojitambua.
Kwanini Hawa jamaa wanataka kuondoka na wengi.
1: FOOD INDUSTRY - Biashara ya chakula ni biashara kubwa sana duniani, Lakini biashara hii Haina usawa na uhakika wa kiafya kwa watumiaji (wateja) kwanini hawakutazami wewe na Mimi kama kipande muhimu Cha biashara Yao, Bali Mimi na wewe tunachukuliwa kama bidhaa Yao.
Vyakula vinavyolimwa Katika Ardhi ya Ulaya na maabara zao, zina mapungufu ya madini kutokana na Asili ya Ardhi Yao iliyofunikwa na barafu kwa miaka mingi, chakula chao kinawafaa wao kutoka na melanini zao, genetics zao, vyakula hivyo havifai MTU mweusi atumie maana sisi na wao sote tu binadamu sawa Lakini Kuna utofauti mkubwa wa kijenetiki, kwa jinsi hiyo ni dhahiri shahiri kwamba hata operation za miili yetu ni tofauti.
Miili yetu inahitaji chakula, Ili ndani ya chakula hicho vipatikane virutubisho vyote inahitajika afya Bora ya udogo unaozalisha chakula hicho. Lakini tumeshindwa kulinda Ardhi yetu ambayo ndiyo msingi wa UHAI wetu na vizazi vyetu.
Tumeruhusu mbegu za kisasa zitamalaki na kuwapa mbegu zetu za Asili wakaweke kwenye maghala Yao Ulaya Ili wakimaliza ku-corrupt Ardhi yetu waje na masharti magumu maana wao ndiyo watakao kuwa na control ya mbegu zote za Asili.
Tumbo lenye njaa daima haliruhusu UBONGO ufanye kazi yake ya kufikiri ipasavyo, wazungu wanajua sisi waafrika tulipendelewa na Mungu, sisi ndiyo kizazi teule, kizazi Cha kwanza na wateule wa Mungu...wanacheza na akili zetu na tumekubali kuchezewa.
Nini tufanye, kama Bado unamiliki mbegu za Asili basi zitunze sana, kama unawaza biashara basi waza kwa kina biashara ya kilimo na chakula, hatuwezi kuwa huru na kuzalisha kizazi huru kama tunaruhusu kulishwa takataka, kulishwa vitu visivyoeleweka, huu ni mtego na tumenasi, ndio maana tuna matokea hasi Katika vitu vingi.
Elimu na maarifa yanayotolewa mengi yanatokana na mifumo Yao, hatuwezi kuwa huru au salama kwa kutegemea wasomi Hawa ambao Elimu Yao ni matakwa ya mzungu huyo huyo.. tuwatumie WAZEE wetu watupe Asili ya baba zao na Babu zao vizazi vitatu nyuma hapo walifanikiwaje Katika kilimo kwa kulinda Ardhi na mbegu Asili..
"USIPOJUA NINI UNALISHA JAMII YAKO USITEGEMEE MATOKEO CHANYA KATIKA LOLOTE"
(Next--- Pharmaceutical industry)