Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
unaposema wazungu hawana upendo na mtu mweusi unamaanisha nini? hata wao wameshikwa pia, hayo ulioyasema yote hata wao ni victims pia, usisahahu kuna wazungu wengi wamejitolea maisha yao kipigania haki ya mwafrika hata kama hawafaidiki na chochote mfano serikali yako ya mtu mweusi inawahamisha wananchi ktk kwenye ardhi yao ya asili kwa nguvu kupisha uwindaji, ni wazungu hao hao wanawatetea waafrika wanao onewa na serikali za watu weusi, kwanza naweza kusema bila ya baadhi wazungu mtu mweusi hana mtetezi dhidi ya uonevu wa mwafrika mwenzake …