Wazungu kwa mataifa Yao yote, hawana UPENDO na MTU mweusi

Wazungu kwa mataifa Yao yote, hawana UPENDO na MTU mweusi

ni kupenda kulaumu tu. yani mpaka kwenye mazao alaumiwe mtu mweupe elimu alaumiwe yeye hapo hapo tunasema sisi ni bora kuliko wao mana sisi ni wateule. eti ngozi yetu ni ngumu haisikii jua 🤣🤣🤣🤣kweli huu ni ujuha
Unajua soko la Dunia la mazao linaamuliwa na sheria na taratibu zipi?. ELEWA kwanza ndiyo ujenge hoja
 
Acha malalamiko, jitegemee mpaka waanze kujipendekeza kwako badala ya wewe kuwategemea

Una Resources zote
 
Genocide of 20mil Congolese!!! Are aware of it
Wa kulalamika walalamike mababu zetu waliopelekwa kwenye utumwa na kulazimishwa na kutekwa..., karne hii walaumu vibaraka wanaowafungulia milango anayekunyonya wewe ni muafrika mwenzako kwa tamaa zake, kwahio kama zamani walipita kwa mabavu leo hii wanafunguliwa na milango na kukaribishwa..., Hence kabla haujalaumu wale laumu hawa waliokuzunguka...
 
Kimsingi sijalalamika nimeliweka tatizo kama lilivyo Ili mwenye wajibu awajibike
Ni malalamiko ya miaka mingi. Kwa nini unataka upendwe? Tena wewe mtoto wa kiume unataka wazungu wakupende. Then iweje?
 
its 20st century
20th century ni 1900s Sawa Wewe ambae bado upo 1900

Hii tuliopo ni 21st century yaan 2000s mpaka ipite miaka 100 ndio tutaingia 22nd century yaan namaanisha Mwaka 2101 ndio 22nd century sijui wewe utakua bado unaishi au ndio utakua ushaishia

Nimekwambia damu za Babu zao wa enzi hizo za 1800 bado zinazunguka kwenye damu zao means bado wanawaofia Wazungu wanaweza wakaja kuleta ukoloni kwenye suala zima la KILIMO, angalia mfano ZAO la Parachichi linalofanyiwa export kwenda Ulaya wanaangalia ni aina gani ya Parachichi unawapelekea sio unapeleka peleka tu miparachichi yako ya enzi za Zana za Mawe hawatokuelewa wanataka uwapelekee Parachichi zao zinazotokana na Mbegu zao za GMO ushaelewa

Sasa unakuja na fikra kwamba Wazungu wanachukua Mbegu zetu ili baadae waje kututawala katika KILIMO hio hai-make sense kabisa ni aina fulani ya ulokole na mawazo yaliyopitwa na wakati ninaposema ulokole nazungumzia ule ulokole wa kizamani wanaoshika mistari ya kitabu cha Muhubiri na kuishi nayo yaan mlokole wa hivyo anaona kwamba kila KITU ni ubatiri wenzie wanafanya mambo ya maendeleo yeye kakomalia tu Yesu anakuja KESHO hii Dunia sio nyumbani kwangu kwa HIO anaishia kijima kabisa bila kujua Dunia inaendelea Mbegu zipo na zitaendelea kuwepo

Emu niishie hapo jaribu kuchakata mwenyewe Ila anachofanya Mzungu Ni kurahisisha Maisha mfano kwenye suala la mazao ya KILIMO wewe na Babu yako mlishazoea mazao ya Msimu yaani mpaka ufike mzimu wa Mvua ndio mnaanza kulima Ila sasa Mzungu kaja na teknolojia kwamba hizi Mbegu nakupa lima kuendana na teknolojia hii utapata na kuvuna mazao Mwaka mzima, teknolojia ambayo sawa inakubari Mbegu za asili Ila haiwezi kukupa mazao mengi km ambavyo ukitumia Mbegu zilizotoka Maabara

Sijui unanipata hapo kijana mtanashati unaezimikiwa na Warembo wa JF?
 
kwa hiyo wazungu (wote) ndiyo wanaoiba kongo? vp kuhusu mtu mweusi wa kongo yeye kaifanyia nini kongo?
The motive behind hao waafrika wachache ni nani kama siyo Ulaya na Amerika. Fanya tafiti mkuu
 
Hii elimu kwamba mzungu alitutawala akatufanya watumwa, imetueletea infiriority complex
 
Ni malalamiko ya miaka mingi. Kwa nini unataka upendwe? Tena wewe mtoto wa kiume unataka wazungu wakupende. Then iweje?
Tunapaswa kupendana kwa misingi ya utu wetu siyo .Imani ,itikadi Wala utamaduni wa mtu
 
Sidhani kama ni Fikra sahihi za MTU mwenye utimamamu wote kabisa.
 
Huwa nawashangaa sana hawa watu wanaosema mtu mweusi ni mteule, sijui mzungu anaujua ukweli hivyo anamharibu mweusi..

How comes mteule akawa kilaza kabisa, yaani hata kujikwamua kwa vitu vidogo hawezi...
Ni kawaida ya mtu mweusi kulaumu pale anaposhindwa jambo, hutafuta wa kumlaumu au kumuachia Mungu.
Inasikitisha sana
 
Watu weusi tutafute njia na suluhisho ya matatizo yetu bola kumlaumu ama kumshirikisha mtu mweupe
Nalog off
 
GuDume kasha wahi leta Uzi humu,ambao aliandika mambo ya ukweli kuhusu mwafrika kuhangaika na vitu visivyo na msingi na maana yoyote.
 
Huwa nawashangaa sana hawa watu wanaosema mtu mweusi ni mteule, sijui mzungu anaujua ukweli hivyo anamharibu mweusi..

How comes mteule akawa kilaza kabisa, yaani hata kujikwamua kwa vitu vidogo hawezi...
Ni kawaida ya mtu mweusi kulaumu pale anaposhindwa jambo, hutafuta wa kumlaumu au kumuachia Mungu.
Tawala zetu ni vibaraka wa wazungu.
Kila sera inayopitishwa na mzungu lazima ifuatwe, na mara nyingi inakuwa si kwa maslahi ya wananchi.

Sera ya elimu ni hovyo, waliofeli ndio walimu,
Elimu yetu inazalisha watu wasiozalisha ( makasuku) Si ajabu Afrika kumkuta daktari bingwa wa binadamu anagombea ubunge. Maslahi makubwa yapo kwenye siasa.

Angalia sera za afya, kila dawa tunazoamriwa.kutumia sisi tunatumia tu bila tafiti. Mfano maralia na Covid nk.

Kilimo tumeshauriwa kuachana na mbegu zetu, tumeletewa madawa na mbolea ambayo kimsingi yameongeza mimea kushambuliwa na magonjwa. Nayo tumepokea.

Afrika akitokea kiongozi mwenye kwenda tofauti na sera za whites lazima atauwawa.
Demokrasia ya mzungu ndio adui mkubwa wa Afrika.
Waafrika kwa ujumla wasilaumiwe mambo yote yanaamriwa na wanasiasa. Ambao wengi wao bongo zao zimejaa kamasi.
Wanacho waza wao ni ufisadi na kujilimbikizia mali na wala sio maendeleo ya taifa. Na wala hawawazi huko mbeleni taifa litakuwaje.
Wamejaa ubinafsi uliotukuka. Sio ajabu kiongozi wa Afrika kuiba nchini kwake na kwenda kuwekeza ulaya na arabuni.
Ni aibu na fedheha kuzaliwa mwafrika mweusi.
Viongozi Afrika ***** zenu!
 
Back
Top Bottom