Wazungu kwa sasa naona washaanza kushtuka

Wazungu kwa sasa naona washaanza kushtuka

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo yanayoendelea na ili Trump na mpongeza ila Europe sasa wanashtuka jua la jioni.
FB_IMG_1784961263010.jpg
 
Siko upande wowote hapo
Ila jua wazungu pia wana mtindo wa kuplay victim card na hawasaidii bure
Ukiona saa hivi hawawataki hapo wameshakamilisha malengo yao na wanaingia hatua nyingine
 
Reconquista itarejea very soon barani Ulaya au watapigana civil war ya hatari.
 
Kuna mambo yanayoendelea na ili Trump na mpongeza ila Europe sasa wanashtuka jua la jioni.View attachment 3636400
Kama unakusudia uislaam hamna cha uzungu wala nini dunia itakuwa hivo nenda Japan Scandinavia wasioamini chochote wao kura na hela, sasa miongoni vizazi vyao ndio wanakuwa waislaam, mtu anaitwa Nelson Knut Peter blonde hairs,Utampeleka Pakistan?? Kama upo bongo huwezi juwa nini kinaendelea saga chupa tu.
 
Back
Top Bottom