Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nambie tajiri unaishije kwa kula hivi?
Hilo mbona linawezekana! Sema mazoea nayo yanachangia, we ulitakiwa ule chakula kidogo mno tofauti na siku zote then utupie matunda mdogo mdogo utajikuta umezoe. Ila kama upo shamba usile tunda afu ulale.Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?
Yaani eti anakula matunda tu analala!
Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.
Yaani usiku nipo kitandani naskia watu ndotoni wanasema RIP..
Nikaamka nikaanza kutazama bati, mpaka kufikia kumkosoa fundi aliyepaua...
Wadudu nao tumboni wanaulizana huyu jamaa leo vipi? Hali ama?
Nikaona isiwe kesi nisije pelekwa hospital bure kutundikiwa dripu wakadhani mie mgonjwa..
Ikabidi tuu nisonge ugali usiku.
Najiuliza Hawa watu tajwa wanaishije kwa kula hivyo vijitunda kisha wanalala vizuri tuu? Nimekoma aseeh
Mkuu hayo matunda mbona ntamaliza mwembe mzima?Hilo mbona linawezekana! Sema mazoea nayo yanachangia, we ulitakiwa ule chakula kidogo mno tofauti na siku zote then utupie matunda mdogo mdogo utajikuta umezoe. Ila kama upo shamba usile tunda afu ulale.
Mi matunda nakula na nalala vizuri tu!
Tupe ratiba yako ya siku mkuuhuna tofauti na mie mkuu..me huwa nashangaa watu wanaokula chipsi kisha wanalala..
Kila kitu mwanzo tuu ndio mgumuhuna tofauti na mie mkuu..me huwa nashangaa watu wanaokula chipsi kisha wanalala..
kiuhalisia upo kifungoni kama umeoa ama kuolewa basi ni ndoano ndaniKila kitu mwanzo tuu ndio mgumu
Nakumbuka nilikuwa sewez et usiku kulala nime kunywa chai tuu na na vitafunwa mwanzo nikishidwa but baadae daaah nime weza kabisa nipo huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Nambie tajiri unaishije kwa kula hivi?
Kiukweli minyoo ni ndugu zangu wa damu siwezi waacha..
MUNGU anipe uvumilivu kwa kweli.Unauzoesha mwili taratibu, unaanza kula matunda nusu sana baada ya chakula. Ukizoea unapunguza chakula unaongeza matunda.
JF is never boring
Nadhani unaelewa mkuu yaani minyoo inakuuliza "ndugu yetu hata Wewe "??hahahahahahaha mkuu haujala kabisa mchana maisha yenyewe ya kulenga kwa manati alafu ule matunda yenyewe mawili tu kwa kuvizia vizia ili kuweka bajeti yako ndogo huwezi kufikisha asubuhi kabisa maana minyoo inaweza kukupiga hata vibao
napiga zege mkuuTupe ratiba yako ya siku mkuu
Hivyo ni vyakula ama vitafunwa mkuu?Majority ya Wazungu wanakupiga pande kubwa la steki na mash potatoes +veg na glass moja kubwa ya bia au wine,huyu ndiyo wa kwanza kusikia anashiba kwa matunda tu.