Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Hao wanakula mara kwa mara hawana muda Maalim
Ila umenifanya nifurahi ulivyo fanya kuandika
Ila umenifanya nifurahi ulivyo fanya kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunya hawatumii nguvu?
Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?
Yaani eti anakula matunda tu analala!
Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.
Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka nikaanza kutazama bati, mpaka kufikia kumkosoa fundi aliyepaua.
Wadudu nao tumboni wanaulizana huyu jamaa leo vipi? Hali ama?
Nikaona isiwe kesi nisije pelekwa hospital bure kutundikiwa dripu wakadhani mie mgonjwa. Ikabidi tuu nisonge ugali usiku.
Najiuliza hawa watu tajwa wanaishije kwa kula hivyo vijitunda kisha wanalala vizuri tu?
Nimekoma aseeh
Kumbe ndo maanaHao wanakula mara kwa mara hawana muda Maalim
Ila umenifanya nifurahi ulivyo fanya kuandika
UMEJARIBU KUWAULIZA MODS HILI SWALI ILI KUPATA MWONGOZO DHABITI?Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?
Yaani eti anakula matunda tu analala!
Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.
Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka nikaanza kutazama bati, mpaka kufikia kumkosoa fundi aliyepaua.
Wadudu nao tumboni wanaulizana huyu jamaa leo vipi? Hali ama?
Nikaona isiwe kesi nisije pelekwa hospital bure kutundikiwa dripu wakadhani mie mgonjwa. Ikabidi tuu nisonge ugali usiku.
Najiuliza hawa watu tajwa wanaishije kwa kula hivyo vijitunda kisha wanalala vizuri tu?
Nimekoma aseeh
Sawa mkuu zege ndiyo msosi unaokushibisha nimekusoma.Hivyo ni vyakula ama vitafunwa mkuu?
Ndugu yangu kabisa huyo.We jamaa umenifanya nicheke Sana mpaka watu wananishsngaa!!
Pia umenikumbush Kuna jamaa angu 2005 alitoka kijijin kwenda mjini kwa ndg. Sasa siku ya Kwanza waliweka msosi (ugali + fish) alikula share ya watu 3 ikabidi waandae tena. Kesho yake asbh wakaenda kumnunulia dawa za minyoo!
Kula Sana au kidogo Ni mazoea na kutokana na kazi unazozifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usiwasaidie kujibu
kwamba nisihesabu bati mkuu?
sawa tajiri nasubiri Kiduku Lilo aje kutoa mwongozoKwanini unakula matunda pekee halafu unalala ilhali una mawazo na kipato chako ni duni!?
Hizo menu ni za watu wasio na mawazo. Mawazo ni moja ya kisababishi cha mmeng'enyo wa haraka wa chakula.
Sasa umejikuta na mimeng'enyo double huwezi lala asilani.
usipende kuwajaribu ndugu zako minyoo mkuu wapo nafasi ww bega kwa begaHiyo nilijaribu wiki jana,nikaona kila siku nakula tu wali,ugali usiku,wakati wengine wanasema wanakula mtunda tu,wanalala!basi nikanunua ndizi mbivu kama 5 hivi,na parachichi la jero!nmerud zangu nikaanza kula hayo matunda pembeni niko na maji yangu ya Tanza!! Nmemaliza nikasema acha nilale zangu sasa nmeshibaa!Walahi saa 6 usiku tu tumbo tupuu,minyoo inalalamika balaa!!nikaona sio kesi nikaamka nikapika chai,angalau ikanisogeza mpaka asubuhi nikawahi mihogo chap!yaani nimeapa sirudii tena hayo mambo ya kizungu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
elewa tuu hivyo kidume cha dar umekula ndizi mbili mpaka sasaUmekula matunda gani..? Isijekuwa umekula mapera na makomamanga ndo unakuja kutusumbua hapa!
Usijidanganye wewe hao matajiri wanakula vizuri tu hayo matunda usiku wanakazia tu supu na makongoro walizokula saa moja jioni,we iga tutakusikia tu TBC😂😂elewa tuu hivyo kidume cha dar umekula ndizi mbili mpaka sasa
Ndugu yangu kabisa huyo.
Kuna mjomba wangu akianza kula mpaka watu wote mnmuangalia na kumuachia msosi
usipende kuwajaribu ndugu zako minyoo mkuu wapo nafasi ww bega kwa bega
hapo kwenye hot chair siwezi ikosa acha tu nibaki hivi nilivyoUkiwa tajiri vitu vyote vitamu tunaambiwa tusile ndio maana tunajikita kwenye matunda.
Nyama choma ya mbuzi sio ruksa
Kitimoto rosti sio ruksa
Beer sio ruksa
Sausages sio ruksa
Chai na soda sio ruksa
Green vegetables ruksa
Matunda ruksa.
Msitulaumu pesa zetu zikiishia nyumba ntobho