Wazungu na matajiri wanawezaje kula hivi?

Wazungu wanakitu kinaitwa Snacks mbali na basic food, ukiwekewa ratiba ya mzungu katikati ya breakfast na lunch kuna snanks na katikati ya Lunch na Dinner kuna snanks pia ndio maana hawali sana Basic food ila sisi latiba zetu ni basic food aka Milo mitatu tu ndio maana ukimisi mmoja njaa.

Portfolio | 2020
 
Milo mitatu? Wanaekula milo mitatu kipindi hichi cha mpito ni wachache sana
 
Kuna siku nilikula tambi saa moja jioni, kufika saa tano nilianza kutafuta sufuria ziko wapi, nikapika na kula chakula.

Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?

Yaani eti anakula matunda tu analala!

Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.

Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka nikaanza kutazama bati, mpaka kufikia kumkosoa fundi aliyepaua.

Wadudu nao tumboni wanaulizana huyu jamaa leo vipi? Hali ama?

Nikaona isiwe kesi nisije pelekwa hospital bure kutundikiwa dripu wakadhani mie mgonjwa. Ikabidi tuu nisonge ugali usiku.

Najiuliza hawa watu tajwa wanaishije kwa kula hivyo vijitunda kisha wanalala vizuri tu?

Nimekoma aseeh
 
Itategemea na aina ya tunda ulilokula mkuu. Fanya siku moja ule pande la tunda aina ya fenesi uone kama hujapiga mbonji ya maana bila kuzinguliwa na minyoo.
 
Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?

Yaani eti anakula matunda tu analala!

Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.

Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka nikaanza kutazama bati, mpaka kufikia kumkosoa fundi aliyepaua.

Wadudu nao tumboni wanaulizana huyu jamaa leo vipi? Hali ama?

Nikaona isiwe kesi nisije pelekwa hospital bure kutundikiwa dripu wakadhani mie mgonjwa. Ikabidi tuu nisonge ugali usiku.

Najiuliza hawa watu tajwa wanaishije kwa kula hivyo vijitunda kisha wanalala vizuri tu?

Nimekoma aseeh
Inategemea una fanya shughuli gani, ulaji wa mbeba zege definately utakua tofauti na wa karani, pia kula matunda sio kwa wazungu na watu wenye pesa ondoa hizo fikra ndugu yangu
 
Back
Top Bottom