Wazungu na matajiri wanawezaje kula hivi?

We jamaa umenifanya nicheke Sana mpaka watu wananishsngaa!!
Pia umenikumbush Kuna jamaa angu 2005 alitoka kijijin kwenda mjini kwa ndg. Sasa siku ya Kwanza waliweka msosi (ugali + fish) alikula share ya watu 3 ikabidi waandae tena. Kesho yake asbh wakaenda kumnunulia dawa za minyoo!
Kula Sana au kidogo Ni mazoea na kutokana na kazi unazozifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMEJARIBU KUWAULIZA MODS HILI SWALI ILI KUPATA MWONGOZO DHABITI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu kabisa huyo.

Kuna mjomba wangu akianza kula mpaka watu wote mnmuangalia na kumuachia msosi
 
Hiyo nilijaribu wiki jana,nikaona kila siku nakula tu wali,ugali usiku,wakati wengine wanasema wanakula mtunda tu,wanalala!basi nikanunua ndizi mbivu kama 5 hivi,na parachichi la jero!nmerud zangu nikaanza kula hayo matunda pembeni niko na maji yangu ya Tanza!! Nmemaliza nikasema acha nilale zangu sasa nmeshibaa!Walahi saa 6 usiku tu tumbo tupuu,minyoo inalalamika balaa!!nikaona sio kesi nikaamka nikapika chai,angalau ikanisogeza mpaka asubuhi nikawahi mihogo chap!yaani nimeapa sirudii tena hayo mambo ya kizungu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa tajiri nasubiri Kiduku Lilo aje kutoa mwongozo
 
usipende kuwajaribu ndugu zako minyoo mkuu wapo nafasi ww bega kwa bega
 
Umekula matunda gani..? Isijekuwa umekula mapera na makomamanga ndo unakuja kutusumbua hapa!
 
Umekula matunda gani..? Isijekuwa umekula mapera na makomamanga ndo unakuja kutusumbua hapa!
elewa tuu hivyo kidume cha dar umekula ndizi mbili mpaka sasa
 
Ukiwa tajiri vitu vyote vitamu tunaambiwa tusile ndio maana tunajikita kwenye matunda.
Nyama choma ya mbuzi sio ruksa
Kitimoto rosti sio ruksa
Beer sio ruksa
Sausages sio ruksa
Chai na soda sio ruksa
Green vegetables ruksa
Matunda ruksa.
Msitulaumu pesa zetu zikiishia nyumba ntobho
 
hapo kwenye hot chair siwezi ikosa acha tu nibaki hivi nilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…