Wazungu na Waarabu Walichotufanyia Waafrika

Uko wa watu weusi wanaologana, kuuana na kuibiana kwao ufisadi na rushwa ni ngao😅😅
 
Kwakweli ni jamii pekee iliyo tuliochukua tamaduni tusizozielewa kabisa
 
Ulishawai KUMUONA mchina anaitwa Mwakasege?.

Au
muhindi ANAITWA Gwajima?.
Au Mzungu ANAITWA Kanumba ??
 
Mimi ni mjukuu wa Mboro.
Yaani my great grandfather alikua anaitwa Mboro, na mabinti zake walijulikana kama Mamboro yaani bintiMboro
Maana ya jina na tafsiri ya jina kwa lugha tofauti DeepPond kwenye hili swala ni gumu
[emoji3][emoji848]
Ha ha ha....mbavu sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli ni jamii pekee iliyo tuliochukua tamaduni tusizozielewa kabisa

Majina ya ukoo nayo tunayotumia tuu sababu hatujui asili na maana yake, laiti tungejua tungewachana na baadhi ya majina kabisaaa

Kuna shida watu wanapitia sababu hawalipii kodi jina la ukoo wanalotumia
 
Majina ya ukoo nayo tunayotumia tuu sababu hatujui asili na maana yake, laiti tungejua tungewachana na baadhi ya majina kabisaaa

Kuna shida watu wanapitia sababu hawalipii kodi jina la ukoo wanalotumia
Usimwite mwanao jina bila kujua maana yake hata kama ni la kabila lenu, au unaweza tunga jina lako binafsi lenye maana nzuri
 
Basi sawa walitudanganya, sasa tufanye yetu. badili majina yote.

wazungu hawafai, tuanze ya kwetu: Tafuta dawa ya kuua virus, siyo haya mambo madogomadogo. huwa hakuna dawa ya kuua virus. Fanya hilo ujikomboe na wazungu
Hakuna jambo dogo hapo hill jambo ni kubwa sana kuliko watu wanavyodhania,misingi ya maendeleo ya watu hujengwa kiutamaduni.
 
ili la kulazimisha kuweka sheria tuoe mke mmoja kwa kweli hapa wazungu walituweza.
Ukimuuliza mchungaji/Padre nifungulie Bible nioneshe sehemu inayosema mwanaume lazima aoe mke mmoja anabaki kugwaya gwaya tu.
Wakaenda mbali wakasema ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…