Wazungu na Waarabu Walichotufanyia Waafrika

Wazungu Walivyo washenzi walitudanganya kupitia dini zao kuwa ili kuepuka Laana za ukoo Kutoka kwa Babu au bibi zetu, tusiwaite watoto wetu majina yao kama SHIRIMA, MARWA, MAPUNDA,MAJURA,MUGISHA,MAZENGO, MWAIPOPO,MWINYIKONDO, FUNDIKIRA, n.k

Wakatushawishi kuwabatiza watoto wetu majina ya kizungu kama mbadala wa kukwepa laana kutoka kwa mababu na mabibi na kutumia majina kama PAUL, VICTOR PIERRE ( ITALY)[emoji3578]JOHN,ZEUS,JULIUS,(GREEK)[emoji3578] ELIZABETH,SMITH, CHARLES, MARY ( ENGLAND)[emoji3578]PETER, FRIEDRICH, GUSTAVO, WILLIAM ( GERMANY),[emoji3578] FRANCOIS, VOLTAIRE, MONTESQUIEU, JACQUES,LUIS (FRANCE), [emoji3578]..kumbe ni UPUUZI mtupu ,

Mbaya zaidi majina haya walitubatiza kwa upanga ( bila ridhaa ya mababu zetu) kuanzia mnamo miaka ya wamissionari (1880-1961) , mbaya zaidi majina yao yametokana na Mizimu ya MAKABIRA Yao , mengine yametokana na mazimu ya mababu zao , mengine Yana maana za kishetani na tafsiri chafu ambazo wazazi wetu wametupatia bila kuhoji kwasababu Makanisa yanatulazimisha indirectly kuendelea na mfumo huu wa ukoloni wa fikra dhidi ya tamaduni zetu.

Mfano jina DENIS tafsiri yake ni MZIMU WA DIVAI ingia google andika Denis meaning utapata MZIMU WA Pombe ,ulioitwa Dyionisus, Zeus, au bachus,au Lochus MZIMU huu una asiri ya ugreek, imagine umemuitwa mwanao Denis na Leo ni mlevi wa kupindukia bado unasema mwanao karogwa [emoji848][emoji848][emoji27][emoji27][emoji29]

Jina NANCY maana yake MSAGAJI * MWANAMKE SHOGA imagine kwa ushawishi wa kanisa umekataa kumuita mwanao jina MANKA au jina Kokutona au Neema au Upendo na umempatia jina la NANCY alafu unalalamika mwanao Malaya Sana hajatulia [emoji848][emoji27][emoji27]

mama hujui KUWA jina linaumba ?? Jina linatenda ?? Nancy temological meaning yaani denotative meaning Nancy maana yake ni SHOGA au Mfiraji ...

Kwanini hujawai kujiuliza kwanini Kila watoto Kumi wenye MAJINA ya SUZY nane ni Malaya ,kwanini hujawai KUHOJI??? unafahamu Siri na CHIMBUKO la jina Suzi?? Unadhani WAZEE wetu walikuwa WAJINGA kutumia majina ya ASILI ???

Fanya makosa yote ata kukosea kuoa lakini sio kucheza na Jina la mtoto,

Unajua nini maana ya jina JOHN ??? Jina John denotative meaning, JOHN* maana yake ni TOILET yaani sehemu unapojisaidia kinyesi na mkojo , ulishawai KUHOJI kwanini kila vijana kumi wenye MAJINA ya John , saba Wana matatizo ya akili? wengi wao hawafanikiwi au wanakuwa watu wa ovyo kama tafsiri ya jina lao.

Mzazi epuka kumpa mwanao jina kama Mbuzi eti kwasababu Mchungaji au Sheikh au Padri au askofu KASEMA , siku mwanao akiharibikiwa VIONGOZI wa dini ndo watakuwa WA kwanza kumtolea mfano .... Kwani ukimuitwa mwanao jina la Kabira au asili yako Atashindwa kuwa mkristo au Muislamu ???

Au akipewa jina la kiarabu au KIZUNGU ndo atamuona mungu ?? Tufike sehemu tuache kutumia dini na MAFUNDISHO ya kigeni Kuua na kuharibu tamaduni zetu waafrica.

Kwanini wenye majina Robert wanakwama kimaisha ,WANAPATA mikosi , harakati zao hazifanikiwi,full matatizo ,yaani ukikuta Robert kafanikiwa mafanikio yake ni ya muda, kwao kufeli ni 100% kama asipo kana jina hilo.

Akina Frank umaskini ni wao , na mafanikio ya muda , mikosi ni Yao , na hawanaga nyota , kila wanalofanya hawatoboi

Victor wao upata mafanikio MAKUBWA Kwa muda mfupi na Kurudi katika umaskini wa kudumu ni kwasababu ya ASILI ya jina hili Italy.

Hashim au Masudi , wengi wao huaribikiwa kimaisha , matatizo kwao hayaishi , kibishara ufirisika,hupata UMAARUFU mbaya ,mwisho wa maisha Yao ni ufukara na majuto. Mifano IPO mingi

Geoffrey ni wakimya ,uzubaa ,uonewa, na wengi wao uchelewa kufanikiwa na wakifanikiwa ukutana na matatizo wengi kwny mafanikio yao, Na huwa Wana mwisho mbaya na kuhuzunisha.

Rajabu wengi wao upata UMAARUFU lakini mwisho wao hawafanikiwi kimaisha

Elizabeth upata Mimba Wakiwa mashuleni na utelekezwa na wanaume japo kimaisha ukumbana na visanga Kila siku

Ally upata UMAARUFU then ukwama kimaisha, ukienda selo za polisi, miongoni mwa wezi wasumbufu vituoni huwezi kukosa Jina la Ally.

Jina Peter maana yake mtu aliyefirisikia au aliyepoteza uwezo,

Jina Emilia maana yake adui au mtu mwenye wivu ,

Jina Cecily cecy* kipofu

Lea mchovu au mvivu

Kennedy misshapen

Kelvin Calvin, maana yake Kipara Cha umaskini

Diana maana yake MZIMU WA moto wa wagiriki

Sadamu mkorofi
GHADDAF mtu anayetoboa watu
Osama Simba n.k

Fanya tafakuri , ukitaka kujua mpango wao wa MUDA Mrefu ulivyofanikiwa , Leo WATOTO WA darasa la kwanza majina yao matatu ( First name, Middle name na surname)
First name: NANCY
Middle Name:JOHN
Surname😀ENIS

hivi kweli wizara haioni Utapeli huu dhidi ya tamaduni zetu? , imagine mtoto huyu amezaliwa ukoo wa KIMARO lakini Surname ya KIMARO imeshakwenda na maji,

Hivi hawa Registration of Insolvency & Trustee Agency ( RITA) hawaoni tatizo hili Wakiwa wanasajiri vyeti ?? MAWAZIRI mwenye dhamana haoni hii, ?? Watunga sheria hawaoni Utapeli huu ???JE tutawaweza kuyalinda majina na tunu zetu kwa vizazi vyetu vijavyo ??

Au tunadhani Utamaduni ni Kuongea kiswahili na kucheza ngoma za asili????[emoji29][emoji29][emoji29][emoji848][emoji848]

Imagine mtoto kisukuma na sio mwarabu anasoma darasa kwanza shule Fulani anaitwa

First name:Ally
Middle name:Omary
Surname: Hussein

Na UNAAMBIWA ametoka ukoo wa Ngosha, hii ni systematic Cultural Genocide ( ukatiri wa kikabira kwa mwamvuli wa dini). Tunapaswa tuukatae kwa Nguvu zote.

Ulishawai kujiuliza kwanini watu wenye MAJINA ya Mudi, Maulidi, Zamda,Asha , Maliki, Iddi, Juma, Sudi, Omary, Asilimia 99 hawafanikiwi kimaisha na wengi wao wamekwama au wanakumbana na matatizo MAKUBWA katika uso wa Dunia ???

[emoji848] we endelea kumpa jina mwanao kama vile unabatiza Mbuzi ...

Kwasababu Leo huko hivyo ulivyo kwasababu ya jina lako kama Umefanikiwa kimaisha basi jina lako linachangia Asilimia 81 ya mafanikio yako , na kama umekwama kimaisha ndugu yangu tatizo jina lako , na ujachelewa Sasa nenda kwa mawakili wambie wakutengenezee document inayoitwa Deed poll utaapishwa kana jina lako la KIZUNGU au la kiharabu, chagua jina la Kabira au asili yako ili upate baraka za WAZEE wako( baraka za kwenu)

( Charity Begins at home)

wakili atakutoza 10000 tu, ukimaliza nenda kwa msajili wa documents sajili jina la ASILI yako ulilochagua na kana majina ya wakoloni waliotupeleka utumwani na kututawala kwa mkono wa chuma.

Basi biashara zako zitaanza kufanikiwa , ndoto mbaya zitaacha, mikosi,nuksi, zarau , bahati mbaya, migogoro, KUKOSA ajira, vitakoma maana utakuwa umejiconnect na spiritual realms yaani spiritual blessed ancestry power.

Wewe ulishawai kumuona SHIRIMA au KIMARO Maskini ?? au kusikia mtu anaitwa Mengi asiye na pesa.. ??

Wengi tumepoteza baraka za ukoo kwa kupokea majina yasiyo na ASILI yetu ndo maana kimaisha na KIROHO tunaangaika Kila siku ... utasikia serikali haijatangaza ajira kwani walioajiliwa wao Wana Vichwa viwili ?? .. Ni Sawa na Kufunga spare ya Toyota kwenye gari ya Nissani HUWEZI kuwa salama .... Ulishawai KUMUONA mchina ANAITWA mwakasege???

Au KUMUONA muhindi ANAITWA gwajima ?

Au Mzungu ANAITWA Kanumba ??

Muda umefika wa kuwambia WAZUNGU na WAARABU kuwa enough is enough kama dini zao haziwezi kutupokea jinsi tulivyo na majina yetu ya ASILI na tamaduni zetu basi dini hizo hazitufai ,mungu hakuwa MJINGA kuyaumba MAKABIRA na kuyafanya tofauti , vivyo hivyo na majina yetu lazima yawe tofauti na lazima tuyapiganie na kuyarinda kwa gharama yoyote.

Kwanini watu wenye MAJINA matatu ya kiasili wamekwisha ?? Mfano Kingunge Ngombari Mwiru, au Kambarage Nyerere Burrito ( 1942 alibatizwa Julius), Minza Bulugu Malundi, Ishengoma Rwebangira Kajuna , ???? Tunakwama wapi AFRIKA ???

Kama utabadili jina la KIZUNGU au la kiarabu au la kigeni na kujiita majina ya Kabira au asili yako yaani majina yenye maana nzuri katika Kabira lako ndani ni siku 21, utaanza kuona Nuru katika maisha yako.

Najua utashangaa Sana hili maana umeshateseka sana na kuzunguka Kila waganga na nyumba za ibada unatafuta eti kuombewa utolewe mapepo na watu mwenye matatizo kama yako[emoji16]

By mtumishi wa MUNGU wa kweli na MZALENDO wa united States of AFRIKA ( USA)

Tuulinde Utamaduni wetu kwa ajili ya vizazi vyetu ili tusijerudishwa utumwani Tena.
Ahsante

Source&Credit: ELIMIKA AFRICA [emoji120][emoji3578]

Sent using JamiiForums mobile app

Mkuu umeongea vitu vya msingi sana,sema watumwa wa kifikra,brainwashed watakupinga,tumezipokea dini zao tukawa wapuuzi zaidi,heshimu wazee wako mana bila wao usingekuwepo wa enzi kwa mila tamaduni na majina yao.
 
Sahii kabisa,
Walitutawala kikoloni kuiba rasilimali zetu, Hadi tamaduni zetu nazo wakatutawala[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Leo umeandika mambo mazito Mzee wa michepuko.
Ulichosema ni ukweli Kabisa.
 
Hata nyumba za kuishi tunakopi tu, leo mtu anajenga nyumba eti iko na bafu, choo, jiko, sehemu ya kupata chakula na stoo. Nakumbuka kipindi chetu tunakula tukiwa tumekaa njee, choo kipo mita 30.

Ila Nancy umemnanga kweli hahahaaa....
 
Unaonaje tuache kutumia magari,pikpiki na ndege tuwe tunatembea kwa miguu kama mababu zetu?
 
Kama vp tujipange turudi Karne ya 15 tukiwa tupo Karne ya 21 Kisha tupambane tufike Karne ya 21 Kwa miguu yetu wenyewe maana tushajuwa aina mbalimbali za ujuzi ila tumekuwa wazembe Kwa kuwa tunajua wapo wanao tengeneza sisi kazi yetu ni kurekebisha/ kuripea kitapo haribika
 
Nayapenda majina ya kikabila especially yenye kumtukuza Mungu,baba yangu mdogo mchungaji kkkt watoto wake wote majina ya kilugha na wamebatizwa tu
 
Wakati mwingine haya majina ya kizungu yazingua mno, miaka ya 1992 nilikuwa na binamu yangu anaitwa Julius John, siku moja katika mwaka huo huo nikaona tangazo kwenye gazeti la mtu aliyegongwa na kufariki mwenye jina hilo hilo. Hakuna simu ni mwendo wa kumtembeleana kama unajua alikopanga. Hivyo baada ya hapo 1993 ni kaenda likizo na agenda moja tuu, ya kubadiri mfumo wa majina kwa watoto. Tokea wakati huo hadi Leo kila mtoto anayezaliwa katika ukoo wetu analamba majina ya babu na bibi zetu. Awe wa kike au wa kiume.!!!
 
peter

Rock; Stone

Meaning:Rock; Stone. Peter is a masculine name originating in the Greek language meaning "rock" or "stone." This name is derived from the Greek version, Petros, which translates to "stone." This biblical name was most notably given to one of Jesus's apostles, Simon.
Ka mtego kadogo mshaanza kujitambulisha.
 
Back
Top Bottom