Wazungu Walivyo washenzi walitudanganya kupitia dini zao kuwa ili kuepuka Laana za ukoo Kutoka kwa Babu au bibi zetu, tusiwaite watoto wetu majina yao kama SHIRIMA, MARWA, MAPUNDA,MAJURA,MUGISHA,MAZENGO, MWAIPOPO,MWINYIKONDO, FUNDIKIRA, n.k
Wakatushawishi kuwabatiza watoto wetu majina ya kizungu kama mbadala wa kukwepa laana kutoka kwa mababu na mabibi na kutumia majina kama PAUL, VICTOR PIERRE ( ITALY)[emoji3578]JOHN,ZEUS,JULIUS,(GREEK)[emoji3578] ELIZABETH,SMITH, CHARLES, MARY ( ENGLAND)[emoji3578]PETER, FRIEDRICH, GUSTAVO, WILLIAM ( GERMANY),[emoji3578] FRANCOIS, VOLTAIRE, MONTESQUIEU, JACQUES,LUIS (FRANCE), [emoji3578]..kumbe ni UPUUZI mtupu ,
Mbaya zaidi majina haya walitubatiza kwa upanga (bila ridhaa ya mababu zetu) kuanzia mnamo miaka ya wamissionari (1880-1961) , mbaya zaidi majina yao yametokana na
Mizimu ya MAKABIRA Yao , mengine yametokana na mazimu ya mababu zao , mengine Yana maana za kishetani na tafsiri chafu ambazo wazazi wetu wametupatia bila kuhoji kwasababu Makanisa yanatulazimisha indirectly kuendelea na mfumo huu wa ukoloni wa fikra dhidi ya tamaduni zetu.
Mfano jina
DENIS tafsiri yake ni
MZIMU WA DIVAI ingia google andika
Denis meaning utapata MZIMU WA Pombe, ulioitwa Dyionisus, Zeus, au bachus,au Lochus MZIMU huu una asiri ya ugreek, imagine umemuitwa mwanao Denis na Leo ni mlevi wa kupindukia bado unasema mwanao karogwa [emoji848][emoji848][emoji27][emoji27][emoji29]
Jina
NANCY maana yake
MSAGAJI *
MWANAMKE SHOGA imagine kwa ushawishi wa kanisa umekataa kumuita mwanao jina
MANKA au jina
Kokutona au
Neema au
Upendo na umempatia jina la
NANCY halafu unalalamika mwanao Malaya Sana hajatulia [emoji848][emoji27][emoji27]
mama hujui KUWA jina linaumba ?? Jina linatenda ?? Nancy temological meaning yaani denotative meaning Nancy maana yake ni SHOGA au Mfiraji ...
Kwanini hujawai kujiuliza kwanini Kila watoto Kumi wenye MAJINA ya
SUZY nane ni Malaya ,kwanini hujawai KUHOJI? unafahamu Siri na CHIMBUKO la jina Suzi?? Unadhani WAZEE wetu walikuwa WAJINGA kutumia majina ya ASILI?
Fanya makosa yote ata kukosea kuoa lakini sio kucheza na Jina la mtoto,
Unajua nini maana ya jina
JOHN? Jina John denotative meaning,
JOHN* maana yake ni
TOILET yaani sehemu unapojisaidia kinyesi na mkojo , ulishawai KUHOJI kwanini kila vijana kumi wenye MAJINA ya John , saba Wana matatizo ya akili? wengi wao hawafanikiwi au wanakuwa watu wa ovyo kama tafsiri ya jina lao.
Mzazi epuka kumpa mwanao jina kama Mbuzi eti kwasababu Mchungaji au Sheikh au Padri au askofu KASEMA , siku mwanao akiharibikiwa VIONGOZI wa dini ndo watakuwa WA kwanza kumtolea mfano .... Kwani ukimuitwa mwanao jina la Kabira au asili yako Atashindwa kuwa mkristo au Muislamu ???
Au akipewa jina la kiarabu au KIZUNGU ndo atamuona mungu ?? Tufike sehemu tuache kutumia dini na MAFUNDISHO ya kigeni Kuua na kuharibu tamaduni zetu waafrica.
Kwanini wenye majina
Robert wanakwama kimaisha ,WANAPATA mikosi , harakati zao hazifanikiwi,full matatizo ,yaani ukikuta Robert kafanikiwa mafanikio yake ni ya muda, kwao kufeli ni 100% kama asipo kana jina hilo.
Akina
Frank umaskini ni wao , na mafanikio ya muda , mikosi ni Yao , na hawanaga nyota , kila wanalofanya hawatoboi
Victor wao upata mafanikio MAKUBWA Kwa muda mfupi na Kurudi katika umaskini wa kudumu ni kwasababu ya ASILI ya jina hili Italy.
Hashim au Masudi, wengi wao huaribikiwa kimaisha , matatizo kwao hayaishi , kibishara ufirisika,hupata UMAARUFU mbaya, mwisho wa maisha Yao ni ufukara na majuto. Mifano IPO mingi
Geoffrey ni wakimya, uzubaa, uonewa, na wengi wao uchelewa kufanikiwa na wakifanikiwa ukutana na matatizo wengi kwny mafanikio yao, Na huwa Wana mwisho mbaya na kuhuzunisha.
Rajabu wengi wao upata UMAARUFU lakini mwisho wao hawafanikiwi kimaisha
Elizabeth upata Mimba Wakiwa mashuleni na utelekezwa na wanaume japo kimaisha ukumbana na visanga Kila siku
Ally upata UMAARUFU then ukwama kimaisha, ukienda selo za polisi, miongoni mwa wezi wasumbufu vituoni huwezi kukosa Jina la Ally.
Jina
Peter maana yake mtu aliyefirisikia au aliyepoteza uwezo.
Jina
Emilia maana yake adui au mtu mwenye wivu.
Jina
Cecily cecy* kipofu
Lea mchovu au mvivu
Kennedy misshapen
Kelvin Calvin, maana yake Kipara Cha umaskini
Diana maana yake MZIMU WA moto wa wagiriki
Sadamu mkorofi
GHADDAF mtu anayetoboa watu
Osama Simba n.k
Fanya tafakuri, ukitaka kujua mpango wao wa MUDA Mrefu ulivyofanikiwa, Leo WATOTO WA darasa la kwanza majina yao matatu (
First name, Middle name na surname)
First name: NANCY
Middle Name: JOHN
Surname DENIS
hivi kweli wizara haioni Utapeli huu dhidi ya tamaduni zetu? , imagine mtoto huyu amezaliwa ukoo wa KIMARO lakini Surname ya KIMARO imeshakwenda na maji,
Hivi hawa Registration of Insolvency & Trustee Agency (
RITA) hawaoni tatizo hili Wakiwa wanasajiri vyeti ?? MAWAZIRI mwenye dhamana haoni hii? Watunga sheria hawaoni Utapeli huu ???JE tutawaweza kuyalinda majina na tunu zetu kwa vizazi vyetu vijavyo?
Au tunadhani Utamaduni ni Kuongea kiswahili na kucheza ngoma za asili????[emoji29][emoji29][emoji29][emoji848][emoji848]
Imagine mtoto kisukuma na sio mwarabu anasoma darasa kwanza shule Fulani anaitwa
First name: Ally
Middle name: Omary
Surname: Hussein
Na UNAAMBIWA ametoka ukoo wa Ngosha, hii ni systematic Cultural Genocide ( ukatiri wa kikabira kwa mwamvuli wa dini). Tunapaswa tuukatae kwa Nguvu zote.
Ulishawai kujiuliza kwanini watu wenye MAJINA ya Mudi, Maulidi, Zamda,Asha , Maliki, Iddi, Juma, Sudi, Omary, Asilimia 99 hawafanikiwi kimaisha na wengi wao wamekwama au wanakumbana na matatizo MAKUBWA katika uso wa Dunia?
[emoji848] we endelea kumpa jina mwanao kama vile unabatiza Mbuzi ...
Kwasababu Leo huko hivyo ulivyo kwasababu ya jina lako kama Umefanikiwa kimaisha basi jina lako linachangia Asilimia 81 ya mafanikio yako , na kama umekwama kimaisha ndugu yangu tatizo jina lako , na ujachelewa Sasa nenda kwa mawakili wambie wakutengenezee document inayoitwa
Deed poll utaapishwa kana jina lako la KIZUNGU au la kiharabu, chagua jina la Kabira au asili yako ili upate baraka za WAZEE wako( baraka za kwenu)
(Charity Begins at home)
wakili atakutoza 10000 tu, ukimaliza nenda kwa msajili wa documents sajili jina la ASILI yako ulilochagua na kana majina ya wakoloni waliotupeleka utumwani na kututawala kwa mkono wa chuma.
Basi biashara zako zitaanza kufanikiwa , ndoto mbaya zitaacha, mikosi,nuksi, zarau , bahati mbaya, migogoro, KUKOSA ajira, vitakoma maana utakuwa umejiconnect na spiritual realms yaani
spiritual blessed ancestry power.
Wewe ulishawai kumuona SHIRIMA au KIMARO Maskini ?? au kusikia mtu anaitwa Mengi asiye na pesa?
Wengi tumepoteza baraka za ukoo kwa kupokea majina yasiyo na ASILI yetu ndo maana kimaisha na KIROHO tunaangaika Kila siku ... utasikia serikali haijatangaza ajira kwani walioajiliwa wao Wana Vichwa viwili ?? .. Ni Sawa na Kufunga spare ya Toyota kwenye gari ya Nissani HUWEZI kuwa salama .... Ulishawai KUMUONA mchina ANAITWA mwakasege?
Au KUMUONA muhindi ANAITWA gwajima?
Au Mzungu ANAITWA Kanumba?
Muda umefika wa kuwambia WAZUNGU na WAARABU kuwa enough is enough kama dini zao haziwezi kutupokea jinsi tulivyo na majina yetu ya ASILI na tamaduni zetu basi dini hizo hazitufai ,mungu hakuwa MJINGA kuyaumba MAKABIRA na kuyafanya tofauti , vivyo hivyo na majina yetu lazima yawe tofauti na lazima tuyapiganie na kuyarinda kwa gharama yoyote.
Kwanini watu wenye MAJINA matatu ya kiasili wamekwisha ?? Mfano Kingunge Ngombari Mwiru, au Kambarage Nyerere Burrito ( 1942 alibatizwa Julius), Minza Bulugu Malundi, Ishengoma Rwebangira Kajuna? Tunakwama wapi AFRIKA?
Kama utabadili jina la KIZUNGU au la kiarabu au la kigeni na kujiita majina ya Kabira au asili yako yaani majina yenye maana nzuri katika Kabira lako ndani ni siku 21, utaanza kuona Nuru katika maisha yako.
Najua utashangaa Sana hili maana umeshateseka sana na kuzunguka Kila waganga na nyumba za ibada unatafuta eti kuombewa utolewe mapepo na watu mwenye matatizo kama yako[emoji16]
By mtumishi wa MUNGU wa kweli na MZALENDO wa united States of AFRIKA ( USA)
Tuulinde Utamaduni wetu kwa ajili ya vizazi vyetu ili tusijerudishwa utumwani Tena.
Ahsante
Source&Credit: ELIMIKA AFRICA [emoji120][emoji3578]
Sent using
JamiiForums mobile app