Wazungu na Waarabu Walichotufanyia Waafrika

Mkuu umeongea vitu vya msingi sana,sema watumwa wa kifikra,brainwashed watakupinga,tumezipokea dini zao tukawa wapuuzi zaidi,heshimu wazee wako mana bila wao usingekuwepo wa enzi kwa mila tamaduni na majina yao.
 
Sahii kabisa,
Walitutawala kikoloni kuiba rasilimali zetu, Hadi tamaduni zetu nazo wakatutawala[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Leo umeandika mambo mazito Mzee wa michepuko.
Ulichosema ni ukweli Kabisa.
 
Hata nyumba za kuishi tunakopi tu, leo mtu anajenga nyumba eti iko na bafu, choo, jiko, sehemu ya kupata chakula na stoo. Nakumbuka kipindi chetu tunakula tukiwa tumekaa njee, choo kipo mita 30.

Ila Nancy umemnanga kweli hahahaaa....
 
Unaonaje tuache kutumia magari,pikpiki na ndege tuwe tunatembea kwa miguu kama mababu zetu?
 
Kama vp tujipange turudi Karne ya 15 tukiwa tupo Karne ya 21 Kisha tupambane tufike Karne ya 21 Kwa miguu yetu wenyewe maana tushajuwa aina mbalimbali za ujuzi ila tumekuwa wazembe Kwa kuwa tunajua wapo wanao tengeneza sisi kazi yetu ni kurekebisha/ kuripea kitapo haribika
 
Nayapenda majina ya kikabila especially yenye kumtukuza Mungu,baba yangu mdogo mchungaji kkkt watoto wake wote majina ya kilugha na wamebatizwa tu
 
Wakati mwingine haya majina ya kizungu yazingua mno, miaka ya 1992 nilikuwa na binamu yangu anaitwa Julius John, siku moja katika mwaka huo huo nikaona tangazo kwenye gazeti la mtu aliyegongwa na kufariki mwenye jina hilo hilo. Hakuna simu ni mwendo wa kumtembeleana kama unajua alikopanga. Hivyo baada ya hapo 1993 ni kaenda likizo na agenda moja tuu, ya kubadiri mfumo wa majina kwa watoto. Tokea wakati huo hadi Leo kila mtoto anayezaliwa katika ukoo wetu analamba majina ya babu na bibi zetu. Awe wa kike au wa kiume.!!!
 
Ka mtego kadogo mshaanza kujitambulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…