Hawa watu ndio waanzilishi wa demokrasia lkn wanapo ona demokrasia utakanyagwa afrika wanafanya nn?
zaidi naona ni matamko tu.
Demokrasia inakanyagwa Uganda chini ya mseveni, je wanafanya nn zaidi zaidi ya matamko na kuendelea kumpa misaada ya hali na mali.
Demokrasia inakanyagwa Rwanda lakini wanafanya nini zaidi ya kuendelea kumpa misaada ya hali na mali ikiwepo pamoja na silaha. Demokrasia inakanyagwa Burundi je nini kinafanyika zaidi ya kusubiri kwanza watu wauane ndio watoe matamko.
Demokrasia inakanyagwa Tanzania lakini kinachofanyika ni nini, isipokuwa tunaona matamko yasiyokuwa na madhara yoyote kwa watawala na cha muhimu tunaona bado wakamwaga misaada ya kifedha ambayo inatumika kukandamiza demokrasia na watu.
Ndizo hizo pesa zinazo tumika kuwanunua wapinzani kama nguo kama vile zama za utumwa. Wanatoa misaada ya kijeshi kwa jeshi ambalo ndilo hilo hilo linalotumika kukandamiza wanaodai demokrasia.
Watu wa magharibi wakiamua kwa dhati kabisa demokrasi itajengwa Afrika Mashariki lakini shida yao kubwa ni kusubiri hadi damu imwagike ndio utawaona wanaingilia kati kwa kukata misaada ya kifedha au ya kijeshi.
Hali hiyo imepelekea viongozi wa Afrika Mashariki kujenga kiburi, majivuno na majigambo na kutoa matamshi ya vitisho kwa mabalozi wa nchi hizo kama alivyofanya Bashiri.
Bashiru pamoja na mwenyekiti wake wamejenga kibri na kujiona kuwa hakuna wa kuwatisha na ndio maana hata mwenyekiti naye alitamka kuwa hata kujitoa katika uchaguzi nayo ni demokrasia bila kujali sababu za kujitoa huko.
Watu wa magharibi wakiamua kibri hiki kinaisha mara moja na viongozi mafedhuri wataufyata mara moja. Wasisubiri hadi damu imwagike