Dybala Ni tatizo huyo.Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Unaumiza kichwa chako bure tu kwa vitu usivyovijua
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
Manchester United ni team iliyojaa matahira wengi mno kila mtu pale ni mwehu mpka mashabiki.Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Martial na lingard wanamzidi nini Ibrahim ajibu au Dickinson ambundo?Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
Hahahh taratibu mkuuManchester United ni team iliyojaa matahira wengi mno kila mtu pale ni mwehu mpka mashabiki.
Mumekata mishahara ya wachezaji wangapi adi mukapata iyo mil 80?Tuachie pepe wetu ,tumelipa 80 fixed wenyewe , hiyo Afcon ulitaka acheze avunjike ,Leo angesajiliwa na arsenal?
Alianza game 1, ali shine ,piga faulo za uwezo, dribbling ya ukweli,
Wewe ulitaka acheze had avunjike?
Nasema tuachie pepe wetu ,mlisema tuna bajeti ya 45
Tuachie pepe wetu ,tumelipa 80 fixed wenyewe , hiyo Afcon ulitaka acheze avunjike ,Leo angesajiliwa na arsenal?
Alianza game 1, ali shine ,piga faulo za uwezo, dribbling ya ukweli,
Wewe ulitaka acheze had avunjike?
Nasema tuachie pepe wetu ,mlisema tuna bajeti ya 45
Mastriker na mawinga wa Man u plus lukaku wako=Dybala mmoja.
Me mwenyewe naombea hivyo hivyoNaendeleza maombi ya Dybala aikatae hii deal, ni bora hata kubaki Juventus bench kuliko kwenda kwenye timu za ajabu ajabu zisizoeleweka.
Kuwa na namba kikosi cha kwanza cha Man U na kuwa mtoa mbolea kwenye zizi la nguruwe kuna tofauti ipi kubwa?Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.