Wazungu ni mataahira

Wazungu ni mataahira

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
 
"Too much of anything is harmful"

Wazungu wana akili saana hadi zinazidi unakuwa ujinga tena. Too much of akili is ujunga.
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Dybala Ni tatizo huyo.
 
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
 
Mastriker na mawinga wa Man u plus lukaku wako=Dybala mmoja.
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????

Akili zao wanazijua wenyewe hao wazungu.
 
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.

Mkuu vipi upo mtungi tayari au?
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Manchester United ni team iliyojaa matahira wengi mno kila mtu pale ni mwehu mpka mashabiki.
 
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
Martial na lingard wanamzidi nini Ibrahim ajibu au Dickinson ambundo?

juma nyangi ni Bora mara 100 ya pogba over.
 
Tuachie pepe wetu ,tumelipa 80 fixed wenyewe , hiyo Afcon ulitaka acheze avunjike ,Leo angesajiliwa na arsenal?

Alianza game 1, ali shine ,piga faulo za uwezo, dribbling ya ukweli,

Wewe ulitaka acheze had avunjike?

Nasema tuachie pepe wetu ,mlisema tuna bajeti ya 45
 
Mumekata mishahara ya wachezaji wangapi adi mukapata iyo mil 80?
 
Tuachie pepe wetu ,tumelipa 80 fixed wenyewe , hiyo Afcon ulitaka acheze avunjike ,Leo angesajiliwa na arsenal?

Alianza game 1, ali shine ,piga faulo za uwezo, dribbling ya ukweli,

Wewe ulitaka acheze had avunjike?

Nasema tuachie pepe wetu ,mlisema tuna bajeti ya 45

Huwa sipendi kuzozana na mashabiki wa Arsenal. Ila unasikitisha kwa kweli. Kwa mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha kitu ndani ya Arsenal 80m unapotoa ulete mchezaji ambae anakuja kubadilisha kitu.
 
Nadhani wewe ndo utakuwa zuzu kwamba rashford hata magori 10 hafikishi wewe zuzu kabisa.kwamba Dyabla nnae mjua mimi anaweza kuwa na jipya lipi kwa man u yenye martial na Lingard.Dyabala hana namba juve lakin lukaku ana namba. Kikosi cha kwanza.
Kuwa na namba kikosi cha kwanza cha Man U na kuwa mtoa mbolea kwenye zizi la nguruwe kuna tofauti ipi kubwa?
 
Back
Top Bottom