Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mumekata, mukapata, mukajamba...duh! Hii lugha ya wapi?Mumekata mishahara ya wachezaji wangapi adi mukapata iyo mil 80?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumekata, mukapata, mukajamba...duh! Hii lugha ya wapi?Mumekata mishahara ya wachezaji wangapi adi mukapata iyo mil 80?
Mimi mwenyewe naombea abaki huko huko mana akija atatuharibia timu yetu kama kina sanchezMe mwenyewe naombea hivyo hivyo
Wanachokiona wao kwako Afrìca itakuchukua miaka mingi kukielewaHivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Naendeleza maombi ya Dybala aikatae hii deal, ni bora hata kubaki Juventus bench kuliko kwenda kwenye timu za ajabu ajabu zisizoeleweka.
They have calculated the risk wisely!Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Unaweza kuwataja hao wachezaji?usajili ni kamari...Mifumo mipya ya soka sio lazima mchezaji awe genius kama zamani.Huwa sipendi kuzozana na mashabiki wa Arsenal. Ila unasikitisha kwa kweli. Kwa mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha kitu ndani ya Arsenal 80m unapotoa ulete mchezaji ambae anakuja kubadilisha kitu.
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Martial na lingard wanamzidi nini Ibrahim ajibu au Dickinson ambundo?
juma nyangi ni Bora mara 100 ya pogba over.
Naendeleza maombi ya Dybala aikatae hii deal, ni bora hata kubaki Juventus bench kuliko kwenda kwenye timu za ajabu ajabu zisizoeleweka.
Juventus Wana FFP wanatakiwa wapate hela kabla ya msimu haujaisha, unapohitaji Hela Kuna club moja ambayo ni rahisi kuzipata Napo Ni Man utd.Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
1. Rashford hapati 300K, ni 200K na magoli wise si kweli kwamba hafikishi magoli 10 kwa msimu, ukimtoa mbape ni youngster wachache Sana unaoweza ku compare na Rashford. Rashford ana magoli 50 toka aje man u na kipindi Cha Mou alikuwa akitumika Kama wingaRashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Kwani Arsenal wanacheza Africa cup?Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
KwakwelMatahira walipokuja kutawala mazuzu na kuwaongezea utahira.
Arsenal tungempata Na zaha mambo yangekua mazur mno
1. Rashford hapati 300K, ni 200K na magoli wise si kweli kwamba hafikishi magoli 10 kwa msimu, ukimtoa mbape ni youngster wachache Sana unaoweza ku compare na Rashford. Rashford ana magoli 50 toka aje man u na kipindi Cha Mou alikuwa akitumika Kama winga
Juventus Wana FFP wanatakiwa wapate hela kabla ya msimu haujaisha, unapohitaji Hela Kuna club moja ambayo ni rahisi kuzipata Napo Ni Man utd.
Deal la dyabala japo tunabadilishana Ila litaandikwa hivi.
Man U wanamnunua Dybala kwa 80M na Juventus wanamnunua Lukakua kwa 16M kwa miaka 5,
Hivyo itahesabika Juventus wamepata Faida 64M mwaka huu.
Ni Mambo ya Accounting tu.
Sidhani Kama Kuna timu yenye uwezo wa kumnunua Pogba msimu huu, na ukitoa vyanzo uchwara sijaona trusted source yoyote kwamba Kuna timu imebid Hela yoyote kwa man u.
Juventus na Madrid ambao wanahusishwa naye wapo Hoi FFP maana wameshaspend Sana msimu huu, labda aende kwa mkopo.
Sterling hajaimprove au yeye ni white siyo black?Wewe unafikiri baada ya pale alipo anaweza kuimprove zaidi ya pale? mzee baba je wewe ni mgeni wa wachezaji ma black wakiengereza au unazirusha tu?