Wazungu ni mataahira

Wazungu ni mataahira

Mpaka muda huu Dybala amegoma hataki kwenda Man Utd yupo radhi akae Bench Juventus. Ila Juventus wanatumia kila njia ili akubali kuondoka.
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Wanachokiona wao kwako Afrìca itakuchukua miaka mingi kukielewa

This means business
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
They have calculated the risk wisely!
 
Huwa sipendi kuzozana na mashabiki wa Arsenal. Ila unasikitisha kwa kweli. Kwa mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha kitu ndani ya Arsenal 80m unapotoa ulete mchezaji ambae anakuja kubadilisha kitu.
Unaweza kuwataja hao wachezaji?usajili ni kamari...Mifumo mipya ya soka sio lazima mchezaji awe genius kama zamani.
 
Ttzo dybala ana mashaka juu ya future yake kama ataenda man u, hivyo kagoma hataki kwenda
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
 
Akili ya Ndanda Fc inapokosoa maamuzi ya Man Utd. Interesting.
 
Hao akina ibrahim ajib wangekuwa ulaya kama wangekuwa na kiwango. Nini kinawafanya wabaki bongo?
Martial na lingard wanamzidi nini Ibrahim ajibu au Dickinson ambundo?

juma nyangi ni Bora mara 100 ya pogba over.
 
Pesa inaongea baba pesa. Man u huenda kuwa wako hovyo kwa sasa. Laki. Pesa inawabeba.. mentality za umaskin zibaki bongo tu
Naendeleza maombi ya Dybala aikatae hii deal, ni bora hata kubaki Juventus bench kuliko kwenda kwenye timu za ajabu ajabu zisizoeleweka.
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Juventus Wana FFP wanatakiwa wapate hela kabla ya msimu haujaisha, unapohitaji Hela Kuna club moja ambayo ni rahisi kuzipata Napo Ni Man utd.

Deal la dyabala japo tunabadilishana Ila litaandikwa hivi.

Man U wanamnunua Dybala kwa 80M na Juventus wanamnunua Lukakua kwa 16M kwa miaka 5,

Hivyo itahesabika Juventus wamepata Faida 64M mwaka huu.

Ni Mambo ya Accounting tu.

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Sidhani Kama Kuna timu yenye uwezo wa kumnunua Pogba msimu huu, na ukitoa vyanzo uchwara sijaona trusted source yoyote kwamba Kuna timu imebid Hela yoyote kwa man u.

Juventus na Madrid ambao wanahusishwa naye wapo Hoi FFP maana wameshaspend Sana msimu huu, labda aende kwa mkopo.

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
1. Rashford hapati 300K, ni 200K na magoli wise si kweli kwamba hafikishi magoli 10 kwa msimu, ukimtoa mbape ni youngster wachache Sana unaoweza ku compare na Rashford. Rashford ana magoli 50 toka aje man u na kipindi Cha Mou alikuwa akitumika Kama winga

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Kwani Arsenal wanacheza Africa cup?

Salah pia hajang'ara na Yeye klop amfukuze?
 
Arsenal tungempata Na zaha mambo yangekua mazur mno
 
1. Rashford hapati 300K, ni 200K na magoli wise si kweli kwamba hafikishi magoli 10 kwa msimu, ukimtoa mbape ni youngster wachache Sana unaoweza ku compare na Rashford. Rashford ana magoli 50 toka aje man u na kipindi Cha Mou alikuwa akitumika Kama winga

Wewe unafikiri baada ya pale alipo anaweza kuimprove zaidi ya pale? mzee baba je wewe ni mgeni wa wachezaji ma black wakiengereza au unazirusha tu?
 
Juventus Wana FFP wanatakiwa wapate hela kabla ya msimu haujaisha, unapohitaji Hela Kuna club moja ambayo ni rahisi kuzipata Napo Ni Man utd.

Deal la dyabala japo tunabadilishana Ila litaandikwa hivi.

Man U wanamnunua Dybala kwa 80M na Juventus wanamnunua Lukakua kwa 16M kwa miaka 5,

Hivyo itahesabika Juventus wamepata Faida 64M mwaka huu.

Ni Mambo ya Accounting tu.

Sidhani Kama Kuna timu yenye uwezo wa kumnunua Pogba msimu huu, na ukitoa vyanzo uchwara sijaona trusted source yoyote kwamba Kuna timu imebid Hela yoyote kwa man u.

Juventus na Madrid ambao wanahusishwa naye wapo Hoi FFP maana wameshaspend Sana msimu huu, labda aende kwa mkopo.

Hayo mambo ya FFP hayanamahusiano na Dybala kabisa. Hivi hao Juventus walitoaje milioni karibu 70 kusajili beki ambaye hata uhakika wakumpa namba hawana?
Dybala, Coadrado na Costa tayari hawakua kwenye mipango ya timu kwa uoni wao wamewaona kuwa hawawafai. Sarri ndie aliezui wasiondoshwe. Ila ndo Club bado inalazimisha kuuza japo mmoja.
 
Hujui kuwa bila akili ya mzungu mwafrika asingeweza kusafiri umbali mrefu? Hata hilo hujui? Unadhani hata hiyo simu unayotumia ni innovation ya babu yako.mwakasungula? Kama hujui basi wewe ndio taahira
 
Wewe unafikiri baada ya pale alipo anaweza kuimprove zaidi ya pale? mzee baba je wewe ni mgeni wa wachezaji ma black wakiengereza au unazirusha tu?
Sterling hajaimprove au yeye ni white siyo black?
 
Back
Top Bottom