Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Wewe ni Empty Set

2. Wameshakudharau

3. Wanakusanifu

4. Wanafaidika nawe

5. Wamekutega na Umetegeka

6. Watapenda usiishie tu Kuwakaribisha Sebuleni Kwako bali watapenda hadi Chumbani ( Bedroom ) Kwako waingie.

7. Watakuambukiza Laana na Dhambi isiyosamehewa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu

Wabobezi wa Lugha ya Kiswahili hivi neno 'Champion' kwa Kiswahili Sanifu ni Bingwa au Mshindi? Huwa linanichanganya mno.
 
Back
Top Bottom