Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 Jul 24, 2020 #41 Drone Camera said: Bora kujirusha unaweza kupata hata wavuvi wakakuokoa kuliko kufa chini ya maji ndani ya meli. Click to expand... Sasa si ujue na ku dive,kama hujui je?
Drone Camera said: Bora kujirusha unaweza kupata hata wavuvi wakakuokoa kuliko kufa chini ya maji ndani ya meli. Click to expand... Sasa si ujue na ku dive,kama hujui je?
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Jul 24, 2020 #42 alubati said: Sasa si ujue na ku dive,kama hujui je? Click to expand... Vaa boya.
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,470 Jul 24, 2020 #43 alubati said: Sasa unakimbia kwasababu meli inazama,halafu unakimbilia ndani ya maji ambao meli ndio inazama humohumo,sasa unakuwa imefanya nini?[emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alubati said: Sasa unakimbia kwasababu meli inazama,halafu unakimbilia ndani ya maji ambao meli ndio inazama humohumo,sasa unakuwa imefanya nini?[emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jul 24, 2020 #44 kimbendengu said: Namnukuu baba wa samata"mtoto wangu huyu anabahati tu lakini kimpira sio sana ,lakini kaka yake yaani Mohamed Samata huyu ni mjuzi hasa wa mpira"mwisho wa kunukuu Click to expand... Ndio atambue kuwa bora kuzaliwa mwenye bahati kuliko mwenye kipaji
kimbendengu said: Namnukuu baba wa samata"mtoto wangu huyu anabahati tu lakini kimpira sio sana ,lakini kaka yake yaani Mohamed Samata huyu ni mjuzi hasa wa mpira"mwisho wa kunukuu Click to expand... Ndio atambue kuwa bora kuzaliwa mwenye bahati kuliko mwenye kipaji