Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri ni namba tu we mzee..CR7 umri imeenda lakin moto wake kijana wa 25 hagusi, Ibrahimovic na wengineo...yote kwa yote hizo ni changamoto tu bt #Hainakufeli ni suala la muda tu.pili tukubali tuu kuwa huyu ndugu yetu umri umemtupa mkono ingawa mwili unamdanganya danganya! na ni vizuri akaanza kutundika buti lake kwa kucheza ligi ambazo hazina mikimiki kama ya uturuki, marekani, na mwishoni uarabuni
You are right,I think that is an Idiom.
BTW, nimetumia uandishi wa kuvuta mjadala, hapo anaweza kuwa alimaanisha kwa maoni yake Samatta anawakimbia Aston Villa FC sababu wanashuka daraja. Nilielewa hivyo lakini nilichagua kutafsiri nilivyo tafsiri awali.
Kama vipi angestaafia Genk, angebaki pale akapeleka vijana kibao, angepeleka watoto wake Academy ya soka ya Genk kama Origi mkubwa na mwanawe Divock Origi.Mimi jamani Samatta naona Genk ilimfaa sana
Yes kaka yake yupo KMC hata leo nimemuangalia pale uhuru na Prisons yupo vizuri sana,sema hana bahati ya kucheza timu kubwaNamnukuu baba wa samata"mtoto wangu huyu anabahati tu lakini kimpira sio sana ,lakini kaka yake yaani Mohamed Samata huyu ni mjuzi hasa wa mpira"mwisho wa kunukuu
Nadhani wanamuonea tu,wachezaji wengi wanaoingia dirisha la January ni wachache wanaoclick moja kwa moja.......kama watabaki ligi kuu,wamsubilie next season atakuwa amezoeaKama vipi angestaafia Genk, angebaki pale akapeleka vijana kibao, angepeleka watoto wake Academy ya soka ya Genk kama Origi mkubwa na mwanawe Divock Origi.
Anyway maisha ni kujaribu, kajaribu mambo hayakuwa poa maisha lazima yaendelee.
No regret.
Hatujui ukweli wa ndani.Nadhani wanamuonea tu,wachezaji wengi wanaoingia dirisha la January ni wachache wanaoclick moja kwa moja.......kama watabaki ligi kuu,wamsubilie next season atakuwa amezoea
Yeah nimesikia ni FernabacheHatujui ukweli wa ndani.
Inawezekana Samatta mwenyewe ndiyo ameomba kuo ndoka sababu hataki kucheza ligi ya chini ambayo ni ngumu lakini haina kipato wala umaarufu mkubwa, haikupi nafasi ya kucheza UEFA n.k.
Labda akienda Uturuki anaweza kurudi mashindano ya UEFA mapema.
Au club yake inataka kumuuza kupunguza gharama za mishahara.
OkayNi Galatasaray kwa mujibu wa magazeti flani na habari za mitandao ya huko nje.
Mkuu hiyo kitu nimerudia huko juu mara kibao kutoa ufafanuzi, angalia hapo chini"Rats leaving a sinking ship"
Umeielewa isivyo
BTW, nimetumia uandishi wa kuvuta mjadala, hapo anaweza kuwa alimaanisha kwa maoni yake Samatta anawakimbia Aston Villa FC sababu wanashuka daraja. Nilielewa hivyo lakini nilichagua kutafsiri nilivyo tafsiri awali.
hata akifeli Epl ile ni smart move mkuu, ukifeli Epl una chance kubwa ya kubaki top 5 league.Tangia mwanzo nilishawaambia watu Samatta kwenda Epl siyo smart move. Sababu yangu ilikuwa umri wake na mazingira aliyokulia kimpira. Epl inataka physique,halafu ujuzi ukikosa hivyo huchezi ile ligue. Kama amepata Uturuki ni kushukuru Mungu. Kingine nina wasiwasi na wakala wake kama anamfahamu vizuri huyo dogo
Sasa unakimbia kwasababu meli inazama,halafu unakimbilia ndani ya maji ambao meli ndio inazama humohumo,sasa unakuwa imefanya nini?[emoji23][emoji23]Mtoa mada naomba nikukosoe kidogo. Hasa hapo kwa "Like Rats leaving a sinking Ship".
Huo ni kama msemo tu.Una maana yake hautafsiliwi moja kwa moja.
Ngoja nikutolee wewe kama mfano.Chukulia upo vizuri una marafiki wengi wengi.Ila bahati mbaya ukateleza maishani ukaanza kuwa na maisha ya kifukara hivi na hao marafiki wakaanza kukukimbia.Hapo sisi wambea wa huko nje tutaanza kusema"His former friends have deserted him like rats leaving a sinking ship".
Kwenye hiyo post ni hivyohivyo tu.Huyo shabiki anaona tetesi za kuondoka kwa Samatta ni mwanzo wa wachezaji wao wengi kuondoka Aston Villa(sinking ship) maana anahisi timu yake yaweza shuka daraja.View attachment 1513767
Ni kweli mkuu.hata akifeli Epl ile ni smart move mkuu, ukifeli Epl una chance kubwa ya kubaki top 5 league.
Manucho Alifeli Man U akaenda zake la liga kumalizia mpira wake. angebaki Angola angecheza la liga?
Bora kujirusha unaweza kupata hata wavuvi wakakuokoa kuliko kufa chini ya maji ndani ya meli.Sasa unakimbia kwasababu meli inazama,halafu unakimbilia ndani ya maji ambao meli ndio inazama humohumo,sasa unakuwa imefanya nini?[emoji23][emoji23]