Wazungu: "Samatta si mchezaji wa EPL", wamfananisha na panya

Wazungu: "Samatta si mchezaji wa EPL", wamfananisha na panya

Vitu vingine ni kushukuru..
Tuna mchezaji WA EPL ambae tunaweza muongelea basi na tushukuru..

Tusisahau kuna nchi za wenzetu hata mchezaji WA championship hawana
Kweli kabisa mkuu.
 
pili tukubali tuu kuwa huyu ndugu yetu umri umemtupa mkono ingawa mwili unamdanganya danganya! na ni vizuri akaanza kutundika buti lake kwa kucheza ligi ambazo hazina mikimiki kama ya uturuki, marekani, na mwishoni uarabuni
Umri ni namba tu we mzee..CR7 umri imeenda lakin moto wake kijana wa 25 hagusi, Ibrahimovic na wengineo...yote kwa yote hizo ni changamoto tu bt #Hainakufeli ni suala la muda tu.
 
Tangia mwanzo nilishawaambia watu Samatta kwenda Epl siyo smart move. Sababu yangu ilikuwa umri wake na mazingira aliyokulia kimpira. Epl inataka physique,halafu ujuzi ukikosa hivyo huchezi ile ligue. Kama amepata Uturuki ni kushukuru Mungu. Kingine nina wasiwasi na wakala wake kama anamfahamu vizuri huyo dogo
 
I think that is an Idiom.
You are right,
I know what he meant but I chose to interpret in an insinuative manner, my aim was to attract readers. Just a 'click bait' IYKWIM.
You may read what I replied earlier from the very first critic of my literal translation.
BTW, nimetumia uandishi wa kuvuta mjadala, hapo anaweza kuwa alimaanisha kwa maoni yake Samatta anawakimbia Aston Villa FC sababu wanashuka daraja. Nilielewa hivyo lakini nilichagua kutafsiri nilivyo tafsiri awali.
 
Mimi jamani Samatta naona Genk ilimfaa sana
Kama vipi angestaafia Genk, angebaki pale akapeleka vijana kibao, angepeleka watoto wake Academy ya soka ya Genk kama Origi mkubwa na mwanawe Divock Origi.

Anyway maisha ni kujaribu, kajaribu mambo hayakuwa poa maisha lazima yaendelee.
No regret.
 
Namnukuu baba wa samata"mtoto wangu huyu anabahati tu lakini kimpira sio sana ,lakini kaka yake yaani Mohamed Samata huyu ni mjuzi hasa wa mpira"mwisho wa kunukuu
Yes kaka yake yupo KMC hata leo nimemuangalia pale uhuru na Prisons yupo vizuri sana,sema hana bahati ya kucheza timu kubwa
 
Kama vipi angestaafia Genk, angebaki pale akapeleka vijana kibao, angepeleka watoto wake Academy ya soka ya Genk kama Origi mkubwa na mwanawe Divock Origi.

Anyway maisha ni kujaribu, kajaribu mambo hayakuwa poa maisha lazima yaendelee.
No regret.
Nadhani wanamuonea tu,wachezaji wengi wanaoingia dirisha la January ni wachache wanaoclick moja kwa moja.......kama watabaki ligi kuu,wamsubilie next season atakuwa amezoea
 
Nadhani wanamuonea tu,wachezaji wengi wanaoingia dirisha la January ni wachache wanaoclick moja kwa moja.......kama watabaki ligi kuu,wamsubilie next season atakuwa amezoea
Hatujui ukweli wa ndani.
Inawezekana Samatta mwenyewe ndiyo ameomba kuondoka sababu hataki kucheza ligi ya chini ambayo ni ngumu lakini haina kipato wala umaarufu mkubwa, haikupi nafasi ya kucheza UEFA n.k.

Labda akienda Uturuki anaweza kurudi mashindano ya UEFA mapema.
Au club yake inataka kumuuza kupunguza gharama za mishahara.
 
Hatujui ukweli wa ndani.
Inawezekana Samatta mwenyewe ndiyo ameomba kuo ndoka sababu hataki kucheza ligi ya chini ambayo ni ngumu lakini haina kipato wala umaarufu mkubwa, haikupi nafasi ya kucheza UEFA n.k.

Labda akienda Uturuki anaweza kurudi mashindano ya UEFA mapema.
Au club yake inataka kumuuza kupunguza gharama za mishahara.
Yeah nimesikia ni Fernabache
 
"Rats leaving a sinking ship"
Umeielewa isivyo
Mkuu hiyo kitu nimerudia huko juu mara kibao kutoa ufafanuzi, angalia hapo chini
BTW, nimetumia uandishi wa kuvuta mjadala, hapo anaweza kuwa alimaanisha kwa maoni yake Samatta anawakimbia Aston Villa FC sababu wanashuka daraja. Nilielewa hivyo lakini nilichagua kutafsiri nilivyo tafsiri awali.
 
Tangia mwanzo nilishawaambia watu Samatta kwenda Epl siyo smart move. Sababu yangu ilikuwa umri wake na mazingira aliyokulia kimpira. Epl inataka physique,halafu ujuzi ukikosa hivyo huchezi ile ligue. Kama amepata Uturuki ni kushukuru Mungu. Kingine nina wasiwasi na wakala wake kama anamfahamu vizuri huyo dogo
hata akifeli Epl ile ni smart move mkuu, ukifeli Epl una chance kubwa ya kubaki top 5 league.

Manucho Alifeli Man U akaenda zake la liga kumalizia mpira wake. angebaki Angola angecheza la liga?
 
Mtoa mada naomba nikukosoe kidogo. Hasa hapo kwa "Like Rats leaving a sinking Ship".
Huo ni kama msemo tu.Una maana yake hautafsiliwi moja kwa moja.
Ngoja nikutolee wewe kama mfano.Chukulia upo vizuri una marafiki wengi wengi.Ila bahati mbaya ukateleza maishani ukaanza kuwa na maisha ya kifukara hivi na hao marafiki wakaanza kukukimbia.Hapo sisi wambea wa huko nje tutaanza kusema"His former friends have deserted him like rats leaving a sinking ship".
Kwenye hiyo post ni hivyohivyo tu.Huyo shabiki anaona tetesi za kuondoka kwa Samatta ni mwanzo wa wachezaji wao wengi kuondoka Aston Villa(sinking ship) maana anahisi timu yake yaweza shuka daraja.View attachment 1513767
Sasa unakimbia kwasababu meli inazama,halafu unakimbilia ndani ya maji ambao meli ndio inazama humohumo,sasa unakuwa imefanya nini?[emoji23][emoji23]
 
hata akifeli Epl ile ni smart move mkuu, ukifeli Epl una chance kubwa ya kubaki top 5 league.

Manucho Alifeli Man U akaenda zake la liga kumalizia mpira wake. angebaki Angola angecheza la liga?
Ni kweli mkuu.
Naunga mkono hoja yako.
 
Back
Top Bottom