Wazungu waja na Smart Toilet au Choo Janja

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Wazungu wameamua kutuletea smart toilet. Ukikaa ktk iki choo huna haja ya kujikamua ata kama nnya ikiwa ngumu mitambo inakukamua unastukia mzigo umeshashuka chini.

Baada ya apo unasafishwa unapigwa msasa na kukaushwa maji. Amna tabu ya kuanza kushika maji au kujishika.

Mambo yote yakiisha unasimama unavaa kyupi unaondoka tu amna kusafisha wala nini kinajisafisha wenyewe. Naomba serikali yetu tukufu ituletee vyoo ivi mashuleni na kwnye ofisi za umma. Maana maeneo haya yamezidi kua na changamoto nyingi kwnye vyoo.

 
Hii ni tekinolojia ya muda mrefu sana wala siyo mpya. Japan wanayo kitambo sana Labda ni mpya hapa Tanzania
 
Wazungu wanatafuta kila namna ya kuichokonoa mikundu ya watu yan tujiandae kisaikolojia machoko watakuwa wengi sana manake choo kinachokonoa nyoro tena ? Daah aisee
 
Baada ya apo unasafishwa unapigwa msasa na kukaushwa maji. Amna tabu ya kuanza kushika maji au kujishika.

Mambo yote yakiisha unasimama unavaa kyupi unaondoka tu amna kusafisha wala nini kinajisafisha
kijanamtanashati inaelekea unapenda kushikwa shikwa na kuchezewa!... Hizo sehemu zako za haja kubwa!!!

Ina maana swala Dogo tu la kujitawaza! Lilikuwa linakushinda!? Unafurahia ... Ila hata mtaani wapo!... ( Wasafisha mitaro!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…