Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nyie ndio mnachafua mazingiraMi bado natumia kopo ata kama choo cha kukaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio mnachafua mazingiraMi bado natumia kopo ata kama choo cha kukaa
Wazungu wamedhamilia kuangamiza ulimwengu kwa ushoga! Yaani unaruhusu choo kikupelekee moto mpaka "nnya" itoke yenyewe??? Shenzi kabisa huna adabu!Wazungu wameamua kutuletea smart toilet. Ukikaa ktk iki choo huna haja ya kujikamua ata kama nnya ikiwa ngumu mitambo inakukamua unastukia mzigo umeshashuka chini.
Baada ya apo unasafishwa unapigwa msasa na kukaushwa maji. Amna tabu ya kuanza kushika maji au kujishika.
Mambo yote yakiisha unasimama unavaa kyupi unaondoka tu amna kusafisha wala nini kinajisafisha wenyewe. Naomba serikali yetu tukufu ituletee vyoo ivi mashuleni na kwnye ofisi za umma. Maana maeneo haya yamezidi kua na changamoto nyingi kwnye vyoo.
View attachment 2835800View attachment 2835801View attachment 2835801View attachment 2835802
Juz nimeona tangazo eti kuna spray kama una constipation yan inya haitoki vizuri eti ile spray unaispray mkunduni, nyoro inalainika inatanuka kimba inatoka nikawaza sana aisee yan kuna kila stail wazungu wanafanya kulainisha mikundu ya kina juma lokoleWazungu wamedhamilia kuangamiza ulimwengu kwa ushoga! Yaani unaruhusu choo kikupelekee moto mpaka "nnya" itoke yenyewe??? Shenzi kabisa huna adabu!