Wazungu waja na Smart Toilet au Choo Janja

Wazungu wamedhamilia kuangamiza ulimwengu kwa ushoga! Yaani unaruhusu choo kikupelekee moto mpaka "nnya" itoke yenyewe??? Shenzi kabisa huna adabu!
 
Wazungu wamedhamilia kuangamiza ulimwengu kwa ushoga! Yaani unaruhusu choo kikupelekee moto mpaka "nnya" itoke yenyewe??? Shenzi kabisa huna adabu!
Juz nimeona tangazo eti kuna spray kama una constipation yan inya haitoki vizuri eti ile spray unaispray mkunduni, nyoro inalainika inatanuka kimba inatoka nikawaza sana aisee yan kuna kila stail wazungu wanafanya kulainisha mikundu ya kina juma lokole
 
Hata watoe bure mie sichukui.
Bora nikanye porini kuliko kunyea hicho choo.
 
Huu ni upotoshaji,smart toilet haikamui kinyesi wala kuingiza nyenzo yoyote kwenye njia ya haja kubwa.
Smart toilet inakusafisha kwa kuspray maji, baada ya hapo inakukausha(drying)
Pia smart toilet ina mfumo wa kupasha joto(warmin) sehemu unayokaa hasa msimu wa baridi.
Mwisho:Watu jitahidini kutafuta maarifa sio kila unachoambiwa mtandaoni au mtaani unaamini kama vile hauna ubongo wa kung'amua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…