sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia.
Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21 hivi.
Wamefika jana wakiwa wageni ila kwa sasa ni kama wenyeji maana ofisini kwao watu huenda kuwapa salamu na kuwapa company sana hata kwa broken english ivo ivo.
Hata wale watumishi wakorofi hasa viongozi wa department wanawaongoza kwa unyenyekevu wa hali ya juu mno na sauti ya upole yenye adabu.
Watumishi wa hapa wakiwemo hata waliowazidi vyeo hupenda kuomba kupiga nao picha.
Kuna group huko la whatsapp lilikuwa kimya sana lakini hawa wazungu walipoungwa ile kujitambulisha tu na picha zao kuna wengine whatsapp zao walikuwa hawajawasha wiki ila sasa wapo active.
Wazungu hawa wamebaki kusahangaa na kusifia kwamba watanzania ni watu wakarimu mno.