matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.
Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima.
Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni dalili ya race nyingine kuwapindua. Tena sisi kwa akili za mqbabu zetu zingeachwa ziendelee kututawala hadi leo bado tungekuwa wajadi sana.
Kwa nini hawa jamaa wameonyesha uendelevu (consistency) isiyochuja karibu katika kila nyanja ya ubinadamu. Hawa wengine wanafeli wapi tukiwemo na sisi?