matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Majibu yote yako hapa 👇 usipoteze muda wako kuumiza kichwaDunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.
Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima.
Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni dalili ya race nyingine kuwapindua. Tena sisi kwa akili za mqbabu zetu zingeachwa ziendelee kututawala hadi leo bado tungekuwa wajadi sana.
Kwa nini hawa jamaa wameonyesha uendelevu (consistency) isiyochuja karibu katika kila nyanja ya ubinadamu. Hawa wengine wanafeli wapi tukiwemo na sisi?
You made my eveningCcm ndio shida.
Kuna nchi nyingi Africa zipo mbali sana kimaendeleo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana uwezo mkubwa kiakili kuliko sisi. Kama unabisha, nenda kajenge kiwanda cha kawaida tu cha kutengeneza matrekta tuone
Upeo wao wa kufikiri, wenzetu wako logical sana tofauti na sisi.Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.
Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima.
Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni dalili ya race nyingine kuwapindua. Tena sisi kwa akili za mqbabu zetu zingeachwa ziendelee kututawala hadi leo bado tungekuwa wajadi sana.
Kwa nini hawa jamaa wameonyesha uendelevu (consistency) isiyochuja karibu katika kila nyanja ya ubinadamu. Hawa wengine wanafeli wapi tukiwemo na sisi?
wala sio kutuzidi ujanja, tatizo letu namb moja ni ubinafsi ufisadi, ruswlhwa, kulindana na uchu wa madaraka wa tawala za kiafrika.Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.
Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima.
Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni dalili ya race nyingine kuwapindua. Tena sisi kwa akili za mqbabu zetu zingeachwa ziendelee kututawala hadi leo bado tungekuwa wajadi sana.
Kwa nini hawa jamaa wameonyesha uendelevu (consistency) isiyochuja karibu katika kila nyanja ya ubinadamu. Hawa wengine wanafeli wapi tukiwemo na sisi?
Niko nje ya mda Yako kidogoMambo yalianzia pale wazungu walipopambana na era ya Dark age. Era ya uchawi na kudidimia kwa sayansi baada ya kuanguka kwa dola la rumi... Baada ya kupambana na dark age wakafanya Agricultural Revolution yaani nguvu kubwa waliiwekeza kwenye kupiga jembe na kubuni mbinu za ukulima bora.
Baada ya hapo ikafuata Demographic Revolution yaani watu wakajazana coz chakula kilikuwepo na kama unavyojua mtu ukishiba unawaza kushibisha na Abdallah rungu mnofu.
Baaada ya hapo ikafuata Industrial revolution... Yaani baada ya kufika hiyo era tu.. Basi kila kitu kikabadirika nchizikapiga hatua mbele na kuweza kutawala mataifa mengine.
Sasa sisi waafrika bado tunapambana na era ya dark age hapo hapo tunataka tufanye industrial revolution na Agricultural revolution hatuwezi toboa daima. Coz wenzetu walipita phase to phase
Uongo ule wa wazungu kutunyong'onyesha. Hata Biblia haisemi hayo.wanasema muafrica alimchungulia baba yake alipo lewa ina maana nuhu ndio akamlani sasa sisi ni kizazi cha nuhu kilicho laaniwa ....hahaha
Ila tungekuwa nyuma sana. Yaani mtu mwenye punda ndio qngekuwa anajiona anamiliki v8.Niko nje ya mda Yako kidogo
Mimi huwa najiulizaga ivi kama wazungu wasinge tutawala Wala kuwepo na ushirikano baina yetu na wao mbaka hivi Leo tungekuwa tunaishi maisha ya namna gani?
Awa wasenge wametuaribia maisha saana
Walitukuta tunakula maziwa na asali nateknolojia zetu na ukarimu wetu Toka wamefikwa mambo ni mvurugano
Me kwa mtazamo wangu naona wazungu wametuletea laana na izi mashida zoote tu ni borea tungebakigi kivyetu vyetu tudevelop kivyetu
Kwa nini wao hawana wakati ni binadamu kama sisi. Au ndio waliziingiza walipoteka machief wetu kiakili.wala sio kutuzidi ujanja, tatizo letu namb moja ni ubinafsi ufisadi, ruswlhwa, kulindana na uchu wa madaraka wa tawala za kiafrika.
Sisi wengine tunapenda sana starehe na ubishoo na pia tuna uchoyo wa maarifa (imagine babu zetu badala ya kuacha maarifa katika maandishi na records wanasubiri mpaka wafe ili tuwasiliane nao wakiwa mizimu)...Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.