Wazungu waliwezaje kutuzidi ujanja sisi wanadamu wa rangi tofauti kwa muda mrefu?

Nilisoma sehemu kwamba ulaya walikuwa wapagani hatari... walivyosanuka wakachoma wachawi karibia wote na vibanda vyao... baada ya hapo nuru ikaanza kuonekana.. huku afrika kuacha ulozi ngumu sana ndio maana tunanyata sana kimaendeleo.
 
Eneo la asili la wazungu ....

Maisha ya eneo baya waliloumbiwa ndilo lililowapa akili ya kupambana na changamoto za kuishi ....

Walizaliwa eneo NUKSI wakayabadilisha maisha yao kuwa BARAKA......
 
Eneo la asili la wazungu ....

Maisha ya eneo baya waliloumbiwa ndilo lililowapa akili ya kupambana na changamoto za kuishi ....

Walizaliwa eneo NUKSI wakayabadilisha maisha yao kuwa BARAKA......
Mbonq sisi huku mtu akizalowa eneo baya ndio analitumia kama ndio sababu ya umasikini au kutoendelea. Tatizo ni nini.
 
Hapo walipofikia panashangaza,laki vumbuzi zao za kimitandao zinazoendeleabkujengwa mfano AI yaani akili mnemba na mifumo mingine mipya itakayounganisha Matumizi ya internet kwa upya mfano ule wa Metaverse,vitakapokuwa vimekamilika tutakuwa tumeachwa kama vile mbingu na ardhi.
 
Ni hatari. Haiwezekani mtu mweusi huko mbele kupindua matokeo na kushika usukani.
 
Kuna Mwanasayansi anaitwa James Watson aliyefanya ugunduzi wa DNA alisema kuna genes za intelligence ambazo ziko kwa wingi kwa wazungu kuliko blacks na pia kwamba kiujumla wazungu wana IQ kubwa kuliko blacks.

Alizua mjadala na shutuma kali sana dhidi ya kauli yake hiyo pamoja na kupokonywa vyeo na tuzo kadhaa.
 
Mwanasayansi anaweza kuwa na kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…