mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
-
- #81
[emoji1787]
Huwa nacheka na kuwaonea huruma napoona dada zetu wanavyojitega kwenye mahotel kumendea mizungu.
Tukitoka wanyamwezi tuliodondoka toka unyamwezini tukipiga story kidogo tu wanatamani hata tuondoke nao wanasahau malengo yao, kimsingi wanawinda mizungu in search of a better life not necessarily mapenzi. Na mtu akifika kwenye hii peak ya desperation anakua vulnerable kufanyiwa unyama wowote ule. It's really heartbreaking.
Sipo serious Mimi🤣Wewe mbona unaponda sana
Bufa kama Bufa sawa tambitambi Mzee wa ramli
Wapowapo tu. Ila kwa kawaida huwa hawakatwi ngozi if you dont mind!Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
Kuna jamaa yangu yeye ni rasta na ana hostel ya kufikia wamarekani.Pathetic… kila mtu na uhitaji wake wewe unavohitaji mwanamke mweupe with big matako sisi vimbaumbau unamuachia nani.. sisi weusi unamuachia nani
Kila mtu na mtue bwanaaa wewe
[emoji1787] mamamzungu toka 2019 hadi leo hujapata mzungu soon utarudisha timu kwa wamatumbi tukupe hata huyo mmoja mwenye kipilipili akuliwaze [emoji1787][emoji1787]
Sipo serious Mimi[emoji1787]
Wapowapo tu. Ila kwa kawaida huwa hawakatwi ngozi if you dont mind!
Inaonekana ndoto ya kua mtoto wa kizungu ulikua nayo toka kitambo ndio maana ukajiita mamamzungu
Kuna jamaa yangu yeye ni rasta na ana hostel ya kufikia wamarekani.
Huwa anawaunga sana wadada wa kibongo.
Mashrti yake umtumie picha yako awaonyeshe hao wazungu.
Ujira wake mtaelewana ukiwa utamvutia hata kitumbua anapokea
Nikuunge naye?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sina cha kumlipa mwambie atalipwa na Mungu anipe tu mthungu
Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
Super free😂Mtandao gani isije ikawa Kama bado [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni free au