Mkuu emu tulia utuelezee vizuri jana umesema Kilian Mbappe kakosa penati ya wazi kabisa yeye na kipa kachomesha?Shida yote ilianzia kwa Vini boya yule. Inaonyesha aliipania sana mechi ndo maana hakupenda alivyotolewa. Wakati wameamuliwa yeye akawa anamfata tena Yamal wapigane hadi raphinha kaingilia kati wazichape...Carvajal nae boya kweli Team mate wake Spain anataka kupigana nae ahead of World Cup kick off.
NB. Yamal apunguze mambo mengi nje ya uwanja
Kwa hio ule ugomvi wa jana pale nani aliuanzisha?4. Mtu kama vinicius jr., kwa tabia zake zile unadhani nani anampenda, wakati mwingine mpaka mashabiki wa madrid huwa wanakereka na mambo yake.
Sijui n ndio maana sijagusia hilo la ugomvi.Kwa hio ule ugomvi wa jana pale nani aliuanzisha?
Kwani wewe ulivyoona jana pale nini kilisababisha ugomvi mpaka wakataka kuzichapaSijui n ndio maana sijagusia hilo la ugomvi.
Hilo la namba 4 nimemzungumzia vinicius wa kila siku, sio wa jana pekee
Lamine Yamal Bado ni teenagerWaafrika tuache kulia lia..
Hapo uneongelea mengi.
1. Neymar hakupotezwa, alijipoteza mwenyewe, starehe za kupitiliza, majeraha ya mara kwa mara, ngumu kudumu kwenye ubora...
Gaucho, de lima mbona waliheshimika!?
2. Ugomvi kwa wachezaji wa timu moja, haswa barca na madrid sio kesi kabisa, ramos aliwahi kumsukuma usoni puyol, na puyol ni mtu anaeheshimika kabisa.
3. Lamine kama ni kujipoteza qtajipoteza mwenyewe... akifata tabia za ki neymar neymar.
4. Mtu kama vinicius jr., kwa tabia zake zile unadhani nani anampenda, wakati mwingine mpaka mashabiki wa madrid huwa wanakereka na mambo yake.
Kipaji pekee hakitoshi kukufanya uwe bora, bali ni nidhamu,juhudi na kujitunza.. mfano katika hili ni cr7
Lakini Wana tabia za usela hasa Vini.Lamine Yamal Bado ni teenager
Amezaliwa 2007
Kwa umri wake laZima awe anafanya makosa ya ujana
Hivi unadhani hao kina Mesi, Ronaldo, Rooney, Lampard hawakuwa na vituko vyao, mbona hawakuandamwa
Nambie Lamine Yamal amefanya kosa Gani
Amebaka?
Amekunywa pombe?
Ameendesha gari Kwa fujo?
Amepigana?
Yani bwana mdogo atie bleach kichwani na avae zake mlegezo liwe suala la kuwaudhi watu wazima
Vipi kuonekana mshangazi!?Lamine Yamal Bado ni teenager
Amezaliwa 2007
Kwa umri wake laZima awe anafanya makosa ya ujana
Hivi unadhani hao kina Mesi, Ronaldo, Rooney, Lampard hawakuwa na vituko vyao, mbona hawakuandamwa
Nambie Lamine Yamal amefanya kosa Gani
Amebaka?
Amekunywa pombe?
Ameendesha gari Kwa fujo?
Amepigana?
Yani bwana mdogo atie bleach kichwani na avae zake mlegezo liwe suala la kuwaudhi watu wazima
Hebu fikiria Jana kocha kamtoa ona reaction ya Vini! Utapendwa vipi? Yeye ni nani asitolewe?Wewe usela wa hao vijana unakuumiza Nini?
Yaani kijana anaishi maisha yake lakini anazingatia ratiba ya mazoezi na match anatwanga fresh Sasa Mimi litanikera nini hilo jambo
True au sadio mane, vipi Antonio Rudrigo....Kwani Mbappe ni mzungu kwa nini habaguliwi? ubaguzi upo yes ila hao uliowataja matatizo yao ni ya kujitafutia
Hiyo ni temper ya mchezoHebu fikiria Jana kocha kamtoa ona reaction ya Vini! Utapendwa vipi? Yeye ni nani asitolewe?