Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

Victim mentality is worse than cancer. Badala ya kuwa accountable ya matendo yenu mnakimbilia kulia lia ubaguzi. Mnasafari ndefu sana.
 
MKuu, mambo mengine ni akili ya mtu tu. Mwehu kama Vinicious JR, huyu kwa upumbavu wake tuna sababu ya kumtetea kweli?

Gaucho, Neymar n.k hawa wamepotea sababu ya starehe zao. Japo nakubaliana na wewe kwamba ubaguzi upo sana hasa Spain.

Mtu kama Dani Alves, Dembele n.k waliwahi kubaguliwa kisa rangi. Alves alirushiwa ndizi uwanjani.
 
Hakuna anayepinga kuwa dogo hana kitu.

Tatizo ni mdomo tu

Naweza kupokea excuses kwa watu wataomtetea wakisema pengine ni ulimbukeni wa umaarufu lakini utetezi wa racism kwangu sioni kama una mashiko.

Ingekuwa ni hivo basi Mbappe na Dembele wangekuwa kwenye mjadalla mkubwa sana wa kukosolewa kupitia mafanikio yao.

Kum defend kwa kutomuambia ukweli ambao utamfanya arekebishike ni kutomjenga kwenye maadili sahihi.

Mimi Messi simkubali lakini ana nidhamu ya juu sana kwenye mazungumzo yake, Messi alitoa recognition ya kwwamba Madrid ni timu kubwa na hakuingia kwenye mtego wa journalist aliyetaka kupata kichwa cha habari kupitia maswali yenye lengo la kuikashifu Madrid.

Lamine alitakiwa afanye hivi alivyofanya Messi, lakini kuongea yale aliyoyaongea it was mistake and disrespectful kwa Madrid.
Screenshot_20251026-225750_Facebook.jpg
 
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi

Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima bwana mdogo afanye makosa mengi ila kama watu wazima ilitakiwa kumsimamia na kumsaidia vizuri

Nilishangaa Jana baba mzima Dani Carvajaal kumshambulia bwana mdogo miaka 17 tu, yaani kama mtoto wake wa kumzaa

Kumbuka Carvajaal na Lamine Yamal wanacheza timu Moja ya taifa, naamini haikuwa poa

Hii sio mara kwanza Kwa wachezaji wenye asili ya Africa walivopitia magumu wakiwa Spain na Europe

Mfano
Neymar, aliandamwa sana hadi akapotea kila alichofanya kilioneka a kibaya

Vini Jr anatafutiwa skendo

Baloteli, huyu jamaa wazungu walimwandama

Etoo alizomea na kubaguliwa mno

Manson Greenwood, huyu dogo alikuwa na talent kubwa, akaandamwa na kupewa kesi za kijanga za ngono ambayo imerudisha nyuma kipaji chake

Bwana mdogo Yamal anapitia magumuView attachment 3494406View attachment 3494407


UNAKUJA ANDIKA UJINGA HUKU NA KUJISHUKU KILA SIKU. SASA SI MUHAME KAMA MNAONA HAMPENDWI. MNATAKA MPENDWE MUOLEWE? ACHENI KUJA ANDIKA UJINGA. WEWE UNAONA HERSI ANAKUPENDA SANA?
 
Husemi point kuu ya kuzua taharuki jana dogo kwenye mkutano na media aliongelea Madrid vibaya kitu hata messi huwa hapendi, hicho ndio chanzo.

Kwaio usianze mambo ya rangi kunawachezaji wengi weusi mpaka kesho wanaimbwa viwanjani na walisha staafu Didier Drogba moja yao.
Mchezaj kama ana Nishimura mbovu lazima wamkosoe sana.
 
Mtoa mada ni taka taka unateteaje nidhamu mbovu kwa kiachaka cha rangi ... mfano ngolo kante aliwahi kubaguliwa wapi? Pape sarr pale spurs mbona anakiwasha safi tu victor wanyama kina mosses chelsea n.k
 
Mtoa mada ni taka taka unateteaje nidhamu mbovu kwa kiachaka cha rangi ... mfano ngolo kante aliwahi kubaguliwa wapi? Pape sarr pale spurs mbona anakiwasha safi tu victor wanyama kina mosses chelsea n.k
 
Issue ni dini yake tu
Itikadi Kali dhidi ya dini yako si shida,SHIDA YA UKRISTO NI ULIMBUKENI,miongoni mwa makundi yao,
E.g,
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa



wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao
 
Hao ni mashabiki wa espanyol ambao ni mahasimu wa barcelona ..chuki zao wamepeleka hadi national team ninkawaida yao kuwa na chuki iliyopitiliza kwa barca
 
Back
Top Bottom