Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

Yamal ni msaliti huyu ni morocco kwanini hajaenda kuchezea morocco kaenda spain? Unajua alichoambiwa na barca pindi akikataa kuchezea spain?
Dogo hajui chochote kuhusu Moroco
Yule kazaliwa Spain, wazazi wake ndo wana asili ya Morocco
 
Ninachokiona ni kitu kimoja tu
Sababu Madrid wameshinda ndio maana wanafanya kama kesi

Mbona wakati wanakandwa msimu uliopita lamine aliongea sana na bado hawakusema?

Hii ni Madrid vs barca scenario za siku zote tu kama kawaida hazijaanza leo
 
U nailed it
 
Hiyo ni temper ya mchezo
Ukiwa mchezoni unaweza Fanya matukio mabaya na ukaja kukuta baadae,
Vini sio wa kwanza kufanya vile
Akitulia atamwomba msamaha coach Xabi Alonso na maisha yanaendelea
Kama unamtetea Vini upo na shida kwa kichwa yako
 
Waafrika si mnapenda kucheza na mshabiki, nimeshangaa kwenye list yako ati umemuweka na Baloteli, wengi wanafanya wehu halafu watafuta huruma.

Vin Jr ndio kabisaa, tabia mbofu mbofu tu.
 
Kamdomo
 
Mdomo wapi!

Semeni kweli tu.

Wewe na Madrid wenzako kina makovu Scars mnamchukia dogo kisa kawanyanyasa kuwakanda na kupata sifa kuliko Mbappe kwenye msimu ulioisha.

Hizo hasa ndio sababu za kumchukia dogo nyingine visingizio tu.

Kama kuongea hata wachezaji wa madrid wanaongea sana.

Mmesahau mlivyokandwa na Arsenal first leg?

Mkaanza mdomo mara ooh kila mtu kwenye chumba anawaza remontada mara ooh tutafunga roof ya uwanja tuwapike Arsenal na ujinga ujinga mwingine mwingi.

Kilichotokea mkakandwa tena second leg na vimdomo vyenu vikaishia hapo hapo.

Muacheni Yamal acheze ball ajamfanyia mtu jambo baya acheni chuki kwa dogo kwa kipaji chake.
 
Dogo anajua kweli hakuna anayepinga ila mdomo ni mwingi sana

Apunguze mdomo na scandal zisizo na ulazima we angalia kwa Mfano alichosema kabla ya mechi hata ungekuwa wewe ni player wa real ungemmind dogo

Kingine Tambo zake zipo mpak kwenye familia yake yaan father mwanae anaingia uwanjani yeye anapost caption "huku Mimi napika kule mwanangu anawapika" kwanini usitengenez maadui kwako na kwa mwanao

Mjomba ngara23 mdogo wako lamine hasemwi kisa rangi ila kamdomo kwan kante ana rangi gan mbon watu hawamchukii kama kijana wako
 
Yamal ni msaliti huyu ni morocco kwanini hajaenda kuchezea morocco kaenda spain? Unajua alichoambiwa na barca pindi akikataa kuchezea spain?
Ooh kiongozi lamine kachagua kucheza Spain mwenyew tena kabla hajaw star hivi

tena Spain ndiyo imempa dogo ustar kwenye euro sasa utasemaje Barca inamnyima haki ya kwenda kwenye taifa lake wakati dogo kapapenda mwenyew spain
 
Ni sahihi. Dogo Lamine anatakiwa ajiangalie kwani muda si mrefu anapotea kama ambavyo Vini amepotea.
 
Hakuna anayepinga kuwa dogo hana kitu.

Tatizo ni mdomo tu

Naweza kupokea excuses kwa watu wataomtetea wakisema pengine ni ulimbukeni wa umaarufu lakini utetezi wa racism kwangu sioni kama una mashiko.

Ingekuwa ni hivo basi Mbappe na Dembele wangekuwa kwenye mjadalla mkubwa sana wa kukosolewa kupitia mafanikio yao.

Kum defend kwa kutomuambia ukweli ambao utamfanya arekebishike ni kutomjenga kwenye maadili sahihi.

Mimi Messi simkubali lakini ana nidhamu ya juu sana kwenye mazungumzo yake, Messi alitoa recognition ya kwwamba Madrid ni timu kubwa na hakuingia kwenye mtego wa journalist aliyetaka kupata kichwa cha habari kupitia maswali yenye lengo la kuikashifu Madrid.

Lamine alitakiwa afanye hivi alivyofanya Messi, lakini kuongea yale aliyoyaongea it was mistake and disrespectful kwa Madrid.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…