Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Ukiona mtu anaongelea uchawi,huyo sio mchawi! Ukiona mtu anapinga uwepo wa uchawi,jua huyo ni mchawi aliyebobea. Mtu yeyote anayefanya kitu kiovu atalinda mambo yake kwa mbinu nyingi sana.Mchawi anawakatisha tamaa kujadili uchawi ili wasiligundulike,hawa wote wanaopinga uwepo wa uchawi,ni sehemu ya fani hiyo.
 
Ujenzi wa madaranja unaenda kwa mahesabu sana,kwa mfano wanatumia quick hardening cement na pia zege halitakiwi kupoteza maji mengi na kupelekea zege liwe casted usiku ili kupunguza evaporation,sasa mzungu akimwaga zege usiku ndipo tafsiri ya sisi ya uchawi inaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…