Giningi01
Senior Member
- Nov 19, 2020
- 190
- 183
Ukiona mtu anaongelea uchawi,huyo sio mchawi! Ukiona mtu anapinga uwepo wa uchawi,jua huyo ni mchawi aliyebobea. Mtu yeyote anayefanya kitu kiovu atalinda mambo yake kwa mbinu nyingi sana.Mchawi anawakatisha tamaa kujadili uchawi ili wasiligundulike,hawa wote wanaopinga uwepo wa uchawi,ni sehemu ya fani hiyo.