Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #21
CreditAnalystMkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi...huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa.
Innovation wanakuja na vitu vipya katika KILA industry kwakua wako juuu kiteknologia.
Wewe unaeamini lazima uweke hirizi au uchinje au uzike au ufukie na matako vitu ndo biashara ifanikiwe...huo Ni mtazamo wako na baadhi ya wanao fanana na wewe.
Haya mambo yapo sana, naona haujabahatika kukutana na behind the scenes.