Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa.
Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo.
Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu wanammaliza kabisa.
Watamwekea waasi halafu watasema anakandamiza haki za binadamu maana kule Rwanda wapinzani wananyanyaswa effectively na kuuawa kwa baraka za wazungu maana ni beneficial kwao ila baadae itatumika kama siraha iwapo tu Kagame atakengeuka.
Wazungu wajanja sana. Walimtumia Mobutu kumuua Lumumba halafu wakamuua pia Mobutu.
Salute sana kwa wazungu.