Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mbwa wana shukrani na utu kuliko watu.Jinsi wazungu wanavyowajali Mbwa wanaowamiliki, wakati mwingine ni zaidi wanavyojali binadamu wenzao.
Mtu anaweza asiwe anaishi na binadamu mwenzie, lakini anaishi na Mbwa ambaye bajeti yake ya kumtunza inazidi gharama za kuhudumia binadamu maskini walioko mtaani.
Huwa najiuliza chanzo cha wazungu kuwajali kiasi hiki Mbwa kuliko binadamu wenzao, sipati jibu.
Aisee!!Mbwa wana shukrani na utu kuliko watu.
Mbea wana utu sana lakini watu ni wamekuwa mambwa.
Watu wanajisahau sana, wanadhani they are irreplaceable. Wanatakiea wapigania sana hadi yao badala ya kudhani haiwezi kupotea au kuwa replaced. Sasa hivi wanyama ni trainable, robots nao ndiyo hao wanatengenezwa kuweza ku fit kwenye hadi shughuli za kiasili za nyama kwa nyama.Aisee!!
Mbwa wamekuwa watu na watu wamekuwa Mbwa...πππ
ππππMbwa ukiishi nae vizuri ana shukrani sio binadamu atageuka awe adui yako mkubwa.
Acha jazba.unaangalia mambo kijuu juu sana kama wangethamini mbwa klk binadamu
Acha jazba.
Kwenye tafiti zao wenyewe inaonesha watu wanawaamini zaidi Mbwa kuliko binadamu wenzao.
Hayo mambo ya njaa ni nje ya mahusiano. Kutusaidia haimaanishi wanatupenda.