Wazungu wanavyothamini Mbwa kuliko binadamu wenzao, chanzo ni nini hasa

Mbwa ni mnyama muaminifu sana na ni mnyenyekevu.

Mbwa hapewe rushwa.

Tofauti kati ya Mbwa na paka ni kwamba Mbwa ukimpa chakula anajua kua huyu mtu ananijali/ananipenda, ila Paka ukimpa chakula anakuona kama wewe unamtumikia yeye anakua anajisikia.

Ila mtu sasa ni kiumbe kinafiki very complex, unaweza ukamuona mtu kabeba chupa ya maji ukadhani anakiu kumbe ni ubishoo tu.

Wanyama wakiwa wanafanya kitu huwa wanakua na uhitaji kweri ila mtu sasa ni changamoto, Wanyama wakiwa wanajamiiana ni kwaajili ya kuzaliana, ila watu sasa malengo mengine kabisa.
 
Kuna mshamba mmoja nilimfadhili akae gheto wakati anatafuta kwake,nimevumilia vingi ikiwemo kuniharibia vipindi vyangu vya kuingiza pisi,Sasa wiki mbili zilizopita kapata ghto kaamia anaanza sambaza mbovu kuwa mm Sina utu,nlikuwa namnyanyasa msosi namnyima,naingiza Malaya ghto yaani maneno kibao.Huyu si Bora mbwa!?
 
Wanasema ni bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadamu Africa.
 
Walijua tangu mwanzo kuwa mbwa ana mahusiano mazuri katika ulimwengu wa roho. Mbwa anamuongoza na kumuepusha na mengi. Kumbuka mbwa ana uwezo wa kuona wachawi.
 
Inaonekana we bado ni mdogo, mbwa ndio rafiki wa kweli, wazungu wametuzidi akili.
 
Kwanza usijidanganye labda km ni mnafki, kuhudumia maskini mitaani siyo wajibu wako, labda serikali
 
Kwl we ni kijakazi, majina huumba tabia. Unaitukana nchi yako? Una nchi nyingine hp duniani?
 
Sio Binadamu wote hawana shukrani na sio Mbwa wote wana shukrani,

Kwani hamjawahi kusikia Mbwa wamemuua mmiliki wao? hamjawahi kusikia Kingunge Mwiru aliumwa na Mbwa wake?
 
Ni mambo mawili moja wanafuga mbwa kama vile watu wa Geita wanavyofuga fisi mbojo na lingine ni bestility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…