Wazungu waongoza kuwa waajiri bora zaidi duniani

Ni kweli. Kwa sababu wazungu wanajali sana majukum ya binadam

Niliwai kufanya kazi ubaloz fulani. Niliona vibarua wanalipwa 30,000 kwa siku, kazi wanazofanya nyepesi sana za warehouse ambazo sehemu zingine napopajua huwa wanalipwa hela isiyozidi 5000 tu
 
Still wanalipa mishahara Pungufu kati ya mwanamke na mwanaume..
 
Korea Kusini na Singapore nao wako vizuri kujali wafanyakazi.
Hao pia safi kabisa. Ila hawa ngozi nyeusi maombi na kumtaja mungu kwingi lakini hamna lolote roho mbaya kabisa
 
Hao pia safi kabisa. Ila hawa ngozi nyeusi maombi na kumtaja mungu kwingi lakini hamna lolote roho mbaya kabisa
Afrika pesa hamna ,huku pesa ni ngumu .. Biashara zenyewe hazieleweki ...Hata hivyo hao wazungu kazi nyingi hazina pesa ndefu ila wana kitu cha mtu analipwa kulingana na uwiano wa masaa na utendaji kazi wake .

Huku kwetu baadhi ya Taasisi tu hazina over time ,tena mikarwa ya hali ya juu .. Hakuna posho nyingine kama usafiri ..Kiufupi , wazungu wana mazingira mazuri ya kumwezesha mtu kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…