Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Nimesikitika hakuna hata kampuni moja la China, mtakuwa mnawanyonya sana wafanyakazi.
Hata kama mishahara ya China sio kama ya Marekani na Ulaya
Uzuri wa China living cost ni ndogo ukilinganisha na Marekani na Ulaya
Kwa gharama ndogo Mchina anaweza kununua bidhaa na huduma ileile ambayo mtu wa Magharibi ananunua kwa bei kubwa
Zaidi ya 60% ya wafanyakazi nchini Marekani bila kadi za mikopo hawatoboi