Wazungu waongoza kuwa waajiri bora zaidi duniani

Nimesikitika hakuna hata kampuni moja la China, mtakuwa mnawanyonya sana wafanyakazi.
Hata kama mishahara ya China sio kama ya Marekani na Ulaya

Uzuri wa China living cost ni ndogo ukilinganisha na Marekani na Ulaya

Kwa gharama ndogo Mchina anaweza kununua bidhaa na huduma ileile ambayo mtu wa Magharibi ananunua kwa bei kubwa

Zaidi ya 60% ya wafanyakazi nchini Marekani bila kadi za mikopo hawatoboi
​
 
Kwa i sie tunashindwa nini kuwawezesha watu kufanya kazi vizuri
 
Hapo #1 ilibidi akae mwarabu tena myemen wale wanaofanana na wapemba wa hapo kisiwani.
 
Hapo #1 ilibidi akae mwarabu tena myemen wale wanaofanana na wapemba wa hapo kisiwani.
Umewahi kusikia story za Wafanyakazi Waafrika wanaoenda kufanya kazi uarabuni?
 
Connection mkuu
 
Wen,etu wana utu bwana sie kuimba na kupiga makelele tuu maka isani na misikitini lakini mesejinya dini hatujaielewa kabisa.
 
Kwa hiyo wafanyakazi wengi wa Tanzania wanaishi maisha mazuri na vimshahara vyao vya njiwa kwa sababu gharama ya maisha iko chini Tanzania??
 
Kwa i sie tunashindwa nini kuwawezesha watu kufanya kazi vizuri
Afrika kuna kitu ambacho kimejengwa ,hapa Afrika na watu weusi kwa ujumla kudai haki yao ni noma..Mengine ni roho mbaya tu ,pesa watu wanakula .... Wana kauli yao kwamba '' mshahara ndiyo haki yako pekee ,mengine sio lazima ''


Kiufupi mazingira wezeshi ni mengi ; posho za masaa ya muda wa ziada ,mafunzo ya kazini ,vifaa vya utendaji kazi ,usalama mahali pa kazi ,Safety gears zile ,masaa ya kufanya kazi na kupumzika ,huduma za malazi na usafiri ,likizo ,posho nyingine kama za kupata ajali kazini.


Hayo yote kwa Tz ukiangalia hawazingatii ,kuna taasisi kwa sasa hata pesa za safari za likizo na overtime hawatoi ,ila ukiomba unapigwa mkwara mzito.
 
Acha uongo wako bhana waarabu ndo namba kwa utu na kujali watu maana wale wanafata dini ya khaki na waarabu ndo wanalipa pesa nzuri Zaid angalia jinsi wanavyo mlipa Ronaldo
 
Wen,etu wana utu bwana sie kuimba na kupiga makelele tuu maka isani na misikitini lakini mesejinya dini hatujaielewa kabisa.
Sasa hapa mbona hakuna uhusiano 🤣🤣🤣 waulize wanaofanya kazi kwenye nchi kama Dubai ,na saudi sio wafanyakazi wa ndani.
.waulize wanaochambisha vizee kwa wazungu uone ni yale yale.
 
Sasa hapa mbona hakuna uhusiano 🤣🤣🤣 waulize wanaofanya kazi kwenye nchi kama Dubai ,na saudi sio wafanyakazi wa ndani.
.waulize wanaochambisha vizee kwa wazungu uone ni yale yale.
Sasa sii bora nikachambishe miku du ya wazungu wazee nitalipwa vizuri kuliko kukaa kwa waafrica huku mwanawane
 
Kwa hiyo wafanyakazi wengi wa Tanzania wanaishi maisha mazuri na vimshahara vyao vya njiwa kwa sababu gharama ya maisha iko chini Tanzania??
Unaelewa matumizi ya GDP PPP kwenye kulinganisha bei za bidhaa na huduma kato ya nchi moja na nyingine?

Kuitaja Tanzania ni ishara huelewei kuhusu hilo la GDP PPP
 
Sasa sii bora nikachambishe miku du ya wazungu wazee nitalipwa vizuri kuliko kukaa kwa waafrica huku mwanawane
Nan anachambisha mikundu na ana maendeleo ,wapo watu wanafanya kazi Amazon na hizo hapo juu hawana mbele wala nyuma ..Unafikiri kila mzungu ana maisha mazuri ..yale nj mazingira ya kazi .


Pale TPA alipoingia Dp world akawapiga mata mbili mshahara ,wale waliokuwa wanalipwa mil 3 wakaanza kwa mil 6..uko wapi wewe?

Kwa bongo mwajiri bora wa kwanza ni DP world .🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…