Wazungu waongoza kuwa waajiri bora zaidi duniani

Ah nipo kinole huku mambo ya dpworld nayajulia wapi bwana wewe. Mie najua tinder badoo mbususu
 
Nimesikitika hakuna hata kampuni moja la China, mtakuwa mnawanyonya sana wafanyakazi.
Wanatumia hadi wafungwa just to maximize profit and reduce costs. China bure kabisa.
 
Kijana even a single second huwezi itumia kuwaongelea positively western always uko opposite nao why!!
Huyo jamaa ni mngese sana hana analojua yeye ni kuvamia tu taarifa na kuanza kuarisha tu utahira wake, yeye kila kitu ni kushindanisha tu hata kama jambo ni la kufahamishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…