Wazungu washwahili duh

Wazungu washwahili duh

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
DSC01966.JPG
 
Kwe kwe kwe kwe kwe ukiwaangalia nyuma ya masikio ndio utajua asili yao
 
huyo mwingine ni Saida mwilima?

duh kweli watu hawana uoga?
 
am kweli
gradual changes Saida.....ndo umekuwa hivi sasa? last time I saw u ulikuwa una alama kibao za weusi weusikweye kwapaz, na viungio!!!

haya safari njema kuelekea 'ocean road' kwa Dr. Ngoma
 
hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown:
 
Sauda Mwilima ameamua kumuiga Maimatha wa Jesse!
 
Hivi: Kwa nini ujilazimishe kupata Saratani ya ngozi? Au ni yaleyale ya Inzi kufia kwenye kidonda!
 
Ukiona mtu anajichubua ujue hana self confidence na sura yake
 
wataishije mjini bila kujichubua ?nyie mapadesheee ndo mnaopenda totoz nyeupe na wao hawana jinsi zaidi ya kujiloeka kwenye tindikali wafikie viwango vyenu,jamani maisha magumu!but i hate this,why ujichubue ,why why y???
 
Mhhhhh, kudadadeki!!!...ni wewe kweli au mwingine, hebu ona tofauti ?? Umekosa nini bibie, .,mashallah!!!

8424_102190486463731_100000183406917_58790_155194_n.jpg


26262_119351558080957_100000183406917_292655_1388311_n.jpg


26262_119348641414582_100000183406917_292595_1652082_n.jpg
 
I thought the skin bleaching era was long gone. I was very wrong..
 
wanahangaika hawa,kuna watu wamewadanganya ati wao ndo wazuriiiii, mibichwa hiyooo kuhangaika tu kujikubua, wanachotafuta ninini? mbona wengine hapo hata kuolewa hawajaolewa, wadada weusiiii wanaolewa kwa ndoa za heshima wanaojikubua bado wanahangaika barabarani. kazi kwelikweli.
 
Kazi ipo.,dada zetu sijui wataelewa lini kuwa wanachokifanya ni hatari kwa maisha yao.
 
Tuwaache final uzeeni kama watafika salama
 
Masikini I always say wanawake wengine wanaishi kwa kuendeshwa na matakwa ya wanaume (they live according to men's perspectives) Yaani wanaume wakihusudi viportable now wanajikondesha ili wawe viportable
- Wanaume wakitaka wanawake wenye coulored skin, ndo hivyo wanachubua skins zao
- Wanaume wakitaka wenye mawowowo na shape basi wachina wanafanya biashara yaani ah


Hebu wanaume badilisheni anzeni ku-go for blakies tuone kama hawajapaka piko mwili mzima.

Wananichosha sana mie!!
 
Mh tutafika tu


samahanini jamani, lakini huyu dada mie hamna cku nimependa kuanzia uvaaji hadi cjui make up, kuna pic hapo yaani kajikandika ma powder balaa...cjui mshauri wake nani jamani.
 
Back
Top Bottom