Wazungu wawatolea uvivu Afrika Kusini, ubaguzi ni hatari sana

Wazungu wawatolea uvivu Afrika Kusini, ubaguzi ni hatari sana

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Wazungu wanaoishi nchini Afrika ya Kusini sasa wameamua.

Hawapendezwi na chuki na ubaguzi unaofanywa na wanaojiita wazawa wa hiyo nchi.

Naomba tumsikikize ili tupate pa kuanzia.

Wazungu wanaoishi nchini Afrika ya Kusini sasa wameamua.

Hawapendezwi na chuki na ubaguzi unaofanywa na wanaojiita wazawa wa hiyo nchi.

Naomba tumsikikize ili tupate pa kuanzia.

View attachment 3621112
Mzungu ana ubaguzi kwa ngozi nyingine, ila ana akili, ugunduzi na uzalendo kwa mzungu mwenzake.

Mwafrica mweusi ni mbaguzi kwa mweusi mwenzake, na hana akili, hagundui, hatengenezi chochote. Mweusi ni mlevi, mzinzi, mshirikina ukimpa bunduki anawaza kuuwa mweusi mwenzake tu. Laaana, laaana, laaaana.

Huyo kaburu yuko sahihi asilimia 150
 
Wazo lako unaposema yuko sawa ila sio lazima kujenga SA, Haina tofauti na kusema kwanini ilikuwa lazima umuokoe aside, si ungemuacha tu ajifie.

Duuuh maajabu ya mtu mweusi
Yupo sawa kwa upande wa raia wa SA kutokutaka kazi na kuona wageni ndo tatizo ilihali sivyo.

Ila, hizo kazi wanazozifanya za kuijenga SA, sehemu ambayo wenye ardhi hawataki kwanini iwe lazima kuzifanyia hapo SA na si kwingine?

Hapo hujaelewa nini?
 
Kama wenye ardhi,, umesema hawataki kufanya kazi au ni wavivu or whatever, lazima wazungu wafanye kazi hizo, maana ndiyo asili yao, kufanya kazi, kugundua, kutengeneza nk ni jadi yao.

Hata ukiwafukuza wataenda popote wakifanya kazi.

Hata MUNGU alifanya kazi kwa siku 6 na akapumzika siku ya 7.
 
Kama wenye ardhi,, umesema hawataki kufanya kazi au ni wavivu or whatever, lazima wazungu wafanye kazi hizo,
Kwanini lazima?

Gharama za uvivu wa raia na kukataa kufanyakazi ni umasikini si kulazimishwa kufanyiwa kazi na wazungu.

Otherwise tufute concept ya raia wa nchi fulani ili ardhi itumike na binadamu wote kwa uhuru.
 
Aaaah wapi, mkuu. Waache wafanye kazi tu hao wazungu.

Mvivu eventually anapoteza, utamaduni, ardhi, mila, uchumi na kila kitu.
Ngoja wapoteze tu haina jinsi
 
Aaaah wapi, mkuu. Waache wafanye kazi tu hao wazungu.

Mvivu eventually anapoteza, utamaduni, ardhi, mila, uchumi na kila kitu.
Ngoja wapoteze tu haina jinsi
SA wapo wengi mkuu si rahisi utamaduni kupotea. Jamaa wanazaliana wale.
 
Yupo sawa lakini kwanini ni lazima kuijenga SA? Wakajenge tu makwao waiache iwe zaidi ya Zimbabwe.
Makwao wapi mkuu? Kama unazungumzia wazungu, wapo SA miaka mingi. Ni kwao. Ila kama ni hao weusi, nakubali. Warudi kwao kama hawana vibali vya kuishi hapo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Makwao wapi mkuu? Kama unazungumzia wazungu, wapo SA miaka mingi. Ni kwao. Ila kama ni hao weusi, nakubali. Warudi kwao kama hawana vibali vya kuishi hapo.
Nazungumzia wasio na uraia wa SA. Sioni sababu ya kufia hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom